Mjengoni Bandi Kufanya Uzinduzi Rasmi Machi 3 Triple A Sport Bar

   wanamziki wa bendi ya mjengoni wakiwa wanafanya mambo ndani ya jukwaa la kiwanja cha nyumbani mjengoni Klabu. Habari picha na Woinde Shizza, Arusha BENDI mpya  ya mziki wa dance ijulikanayo kwa jina la Mjengoni classic band inatarajia kufanya utambulisho   wao rasmi kwa mara ya kwanza  mapema  march 3 katika ukumbi wa Triple A spot bar uliopo ndani ya Jiji la Arusha. Akiongea na waandishi wa …

Angalia Mitindo Ndani ya V. I. P. Reception Awards Gala…!

  Warembo wakiwa katika picha ya pamoja siku ya Jumamosi March 11, 2017 Fairfax, Virginia kwenye V.I.P. Reception Awards Gala iliyohudhuriwa na Balozi wa Kenya nchini Marekani Mhe. Robinson Njeru Githae. Mwanamitindo nguli wa kimataifa Asya Idarous Khamsin akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Kenya nchini Marekani Mhe. Robinson Njeru Githae    Mrembo akiwa katika vazi la mwanamitindo …

Rais Magufuli Amtakia Heri za Kuzaliwa Rais Dk Shein

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli leo tarehe 13 Machi 2017, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma. Dkt. Magufuli amesema katika mazungumzo yao wamezungumza mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kumtakia heri Rais wa Zanzibar na …

Halotel Yajizatiti Kupunguza Gharama za Intaneti

  KATIKA kuwapunguzia watanzania mzigo wa gharama za vifurushi vya intaneti kampuni ya mawasiliano ya simu ya Halotel imetangaza kuboresha vifurushi vyake vya intaneti na kuongeza kiwango kulingana na mahitaji ya wateja. Akizungumzia juu ya maboresho hayo, Kaimu Mkurugenzi wa kampuni hiyo Bw. Lui Van Dai, amebainisha kuwa azimio hilo limekuja baada ya kusikia kilio cha watanzania kuhusu gharama za …

Rais Magufuli Atuma Rambirambi Kifo cha George Kahama

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya mmoja wa Waasisi wa Taifa na Waziri Mstaafu Bw. George Kahama kufuatia kifo cha kiongozi huyo kilichotokea leo tarehe 12 Machi, 2017. Bw. George Kahama amefariki dunia akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Katika …

Timuatimua ya CCM Dodoma…!

TIMUATIMUA iliyofanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wake mkuu maalum mjini Dodoma imemkumba Mwenyekiti wa UWT Taifa, Sophia Simba (Mb), na wenyeviti wa CCM Mikoa ya Dar es Salaam (Ramadhani Madabida), Iringa (Jesca Msambatavangu) , Shinyanga (Erasto Kwilasa), Mara (Christopher Sanya) na wenyeviti wa CCM wilaya. Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa …