Mkurugenzi wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau akieleza kwa ufupi kuhusiana na uzinduzi wa mashine za kutolea pesa za benki ya UBA ambapo Benki hio imezindua mashine hizo za kutolea pesa katika vituo vinne kwa hapa Dar Es Salaam Mwenyekiti wa bodi ya Benki ya UBA Tanzania, Jenerali Mstaafu, Robert Mboma akikata utepe mbele ya Mashine ya …
RC Gambo Azinduwa Huduma ya TTCL 4G LTE Mkoani Arusha
Pichani ni Kaimu Afisa mtendaji Mkuu wa TTCL Bw. Wazir Kindamba, Akizungumzia mipango na mikakati wa TTCL. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akifuatiwa Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL ,Wakipiga simu mubashara “live” kutoka Arusha kwenda Dar kwa kutumia laini mpya ya TTCL 4G LTE. Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Mashaka Gambo Akihudumiwa na …
Waziri Muhongo Azinduwa Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini, Pwani
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (mwenye fulana ya Bluu) na Mbunge wa Chalinze, Mhe. Ridhiwani Kikwete wakifungua kitambaa kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini, Awamu ya Tatu katika mkoa wa Pwani. Watendaji kutoka kampuni ya Steg International Services wakimsikiliza Waziri wa Nishati na Madini (hayupo pichani) wakati wa Uzinduzi wa Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika …
Hamad Masauni Azungumza na Maafisa Waandamizi Jeshi la Magereza
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (aliyevaa suti) akiongozwa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, (CGP) Dkt. Juma Malewa (mbele), kuingia ukumbini kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Maafisa Waandamizi kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Magereza pamoja na Wakuu wa Vituo vya Magereza Tanzania Bara, uliofanyika Bwalo Kuu la Maafisa wa …