Masha Ajiengua TLS Dakika za Mwisho, Aungana na Tundu Lissu

MGOMBEA wa kiti cha urais  wa Chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) Lawrence Masha ametengua uamuzi wake kwa kusema   kuwa  ameamua kuumuunga mkono mgombea mwenzake Tundu Lissu. Maamuzi hayo ameyafanya wakati alipokaribishwa ili kujinadi mbele ya wapiga kura wake katika Mkutano Mkuu wa TLS unaoendelea katika kituo cha mkutano cha kimataifa AICC Jijini Arusha Leo. Aidha mwenyekiti wa uchaguzi amesema kuwa Kwa …

Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Yaipongeza TaSUBA

  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akimkaribisha Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Peter Serukamba (kulia) pamoja na Wajumbe wengine mara baada ya kuwasili katika Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA) kwa ajili ya kukagua mradi wa ukarabati wa taasisi hiyo, 17 Machi, 2017.   Waziri …

CCM ni Chuki Visasi…Wapinzani Wakitimuana ‘Wanafukuza Waasi, Wasaliti’

Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini JUMAMOSI ya Machi 11, 2017 Chama cha Mapinduzi (CCM) ‘kiliondoa woga’ na kufanya jambo ambalo halikutarajiwa na wengi nchini baada ya kuwatimua baadhi ya wanachama na kuwavua uongozi wengini huku baadhi yao wakisimamishwa na wengine wakionywa, MaendeleoVijijini inaripoti. Waliofukuzwa uanachama ni pamoja na mwanachama mkongwe na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake (UWT) Sophia Simba ambaye amepoteza rasmi nafasi yake ya Ubunge wa …

Vice Chancellor of the Open University of Tanzania Visits the UNESCO Dar

ON the morning of Friday,17thMarch 2017 Prof. Elifas Tozo Bisanda, the Vice Chancellor of the Open University of Tanzania (OUT) visited the UNESCO Office in Dar es Salaam. Prof. Bisanda, who is also the Chairperson of the UNESCO National Commission of the United Republic of Tanzania, had a meeting with the UNESCO Dar es Salaam Head of Office and Country Representative, …

Ridhiwani Kikwete Ahojiwa na Mamlaka ya Dawa za Kulevya, Ashukuru Mungu…

MBUNGE wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete ameeleza kufurahishwa kwake baada ya kuhojiwa na Mamlaka ya kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya nchini. Mbunge huyo amezungumza hayo jana jijini Dar es salaam baada ya kuhojiwa na Mamlaka hiyo, ambapo alisema roho yake imesuuzika kwani jamii imeamini kwamba hahusiki kwa namna yoyote ile na biashara hiyo haramu. “Nashukuru kwa kuhojiwa …