NMB imezindua rasmi huduma ya kuhamisha ama kutuma fedha (NMB Mobile TISS), kutoka katika akaunti za benki hiyo, kwenda kwenye akaunti za benki nyingine, sambamba na kufanya manunuzi na malipo. NMB Mobile TISS, ni huduma ya kwanza kutolewa na benki nchini Tanzania, ambayo imetajwa kuwa ni njia rahisi, salama na ya haraka katika mchakato wa kutuma ama kuhamisha fedha …
Hivi Ndivyo Tundu Lissu Alivyoshinda Urais wa Chama cha Wanasheria, TLS
WAKILI msomi Mhe. Tundu Lissu ameibuka na ushindi wa Urais wa Chama cha Wanasheria Nchini (TLS) baada ya kujizolea kura 1,411 kati ya 1,682 zilizopigwa, ikiwa ni sawa na 88% ya kura zote. Uchaguzi huo ulifanyika Arusha International Conference Centre (AICC). “Nimeshinda Urais TLS, ushindi huu uende kwa watanzania wote, na kwa wote mlioonewa ambao mpo mahabusu na magerezani” alisema …
Balozi Marmo Amvisha Cheo Kanali Joseph Bakari wa JWTZ
KATIKA hali ambayo haijazoeleka Balozi wa Tanzania Mhe. Philip Marmo nchini Ujerumani alimvisha Cheo Kanali Joseph Bakari aliyepandishwa Cheo hivi karibuni kutoka Luteni kanali. Hafla hiyo fupi iliyohudhuriwa na ujumbe wa Watanzania waliohudhuria Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Jijini Berlin Ujerumani akiwemo Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Rashid Ali Juma, Mshauri wa Rais wa Zanzibar mambo ya Utalii …
Tanzanite One Wasaidia Mil 20 kwa Madalali Wanawake
Madini ya Tanzanite ambayo yanapatikana eneo la mererani pekee duniani yakiwa tayari yamekatwa na kusanifiwa sasa yatauzwa kimataifa katika kituo kitakachonjengwa Arusha Mtaalamu wa kukata madini Adam Idd Lacha akiwa anakata na kusanifu madini ya Tanzanite ya kampuni ya Tanzanite one ambayo ndio inatoa mafunzo hayo. Mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya Sky Associate Group, Faisal …
LAPF Yagawa Reflector Jacket kwa Bodaboda Kisarawe
Waendesha boda boda wa Wilaya ya Kisarawe wakiwa kwenye mkutano huo. Waendesha boda boda wa Wilaya ya Kisarawe wakiwa kwenye mkutano huo. Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, James Mlowe, akionesha moja ya jacket katika mkutano huo. Kushoto ni Diwani wa Kata ya Kisarawe, Abel Mudo na kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri wa wilaya hiyo, Khamis …