Mo Ashinda Tuzo ya Afisa Mtendaji Mkuu ‘CEO’ Bora Afrika 2017

  RAIS na Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group), Mohammed Dewji ameshinda tuzo ya Afisa Mtendaji Mkuu Bora wa mwaka 2017 inayotolewa na Jukwaa la Wakurugenzi Watendaji Afrika (Africa CEO Forum). Dewji ameshinda tuzo hiyo kwa kuwashinda Abdulsamad Rabiu (CEO wa BUA Group), Issad Rebrab (CEO wa Cevital), Naguib Sawiris ( CEO wa OTMT Investments), Said …

Kamati ya Bunge ya Miundombinu yaitaka Serikali kuwa mfano kutumia huduma za TTCL

    Na Mwandishi Wetu KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeitaka Taasisi za Serikali na Mashirika yote ya Umma kutumia kituo cha kutunzia kumbukumbu cha Taifa (National Data Centre)chenye hadhi ya juu kabisa katika viwango vya ubora na usalama wa Taarifa na Kumbukumbu. Kamati pia imezitaka Taasisi zote zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kutumia …

Kongamano la Maadili Kufanyika Uwanja wa Taifa Dar

Naibu Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Anastazia Wambura (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu kongamano la maadili litakalofanyika kesho Uwanja wa Taifa kuanzia saa nne asubuhi. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Sanaa, Leah Kihimbi na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (Basata), Godfrey Mngereza.    Katibu Mtendaji wa Baraza la …

ESRF Yazinduwa Ripoti ya Namna ya Kuboresha Viwanda Nchini

Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF) kwa kushirikiana na CUTS International Geneva kupitia ufadhili wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo Sweden (SIDA), wamezindua Ripoti ambayo inaelezea namna bora ya kuboresha viwanda vya kuchakata mazao ya kilimo na kuiwezesha Tanzania kuwa nchi ya viwanda kama jinsi ulivyo Mpango wa Serikali kupitia Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa …

Mkurugenzi Clouds Media Group Athibitisha Kituo Kuvamiwa

  MKURUGENZI wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds, Ruge Mutahaba amethibitisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuvamia ofisi zao akiwa na askari wenye silaha. Akifafanua zaidi Ruge amesikitishwa na tukio hilo na kuviomba vyombo vya habari kuungana katika kupinga kitendo hicho cha uvamizi wa ofisi za vyombo vya habari pasipo utaratibu. Alisema kitendo alichokifanya kiongozi huyo …