Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majengo Jeshi la Polisi Wahimizwa Kupata Mafunzo

Judith Ferdinand, BMG JESHI la Polisi nchini limehimizwa kuwaruhusu na kuwawezesha wataalamu katika fani ya ubunifu majengo na ukadiriaji majenzi waliosajiliwa, kuhudhuria mafunzo mbalimbali yanayoandaliwa na Bodi  ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi. Wito huo ulitolewa leo na Mwenyekiti  wa Bodi ya Wabunifu Majengo Dkt. Ambwene Mwakyusa, katika ufunguzi wa mkutano wa mashauriano kati ya Bodi ya  Usajili wa …

Makonda ‘Amponza’ Waziri Nape, JPM Amtumbua…!

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 23 Machi, 2017 amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri. Katika Mabadiliko hayo, Mhe. Rais Magufuli amemteua Prof. Palamagamba Mwaluko Kabudi kuwa Waziri wa Katiba na Sheria na hapo hapo Dkt. Magufuli amemteua Dkt. Harrison George Mwakyembe kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nafasi …

Bomoabomoa Nyumba Katika Hifadhi ya Reli Mivinjeni, Kurasini Yaanza

   Makontena ya biashara yakiwa yamefumuliwa na katapila.    Baa ya Pentagoni ikiwa imebomolewa   Katapila likiendelea na kazi ya bomoa bomoa      Baadhi ya wafanyabiashara ndogo ndogo waliokuwa na vibanda vya biashara pamoja na wananchi wakishuhudia ubomoaji huyo.   Askari wakilinda doria wakati wa ubomoaji Wataalamu wakipima mita 20 kutoka kwenye reli ili nyumba na mabanda yaliyo ndani ya …

Pikiniki Zatishia Uhai wa Mazingira Visiwani Zanzibar

PIKINIKI zinazofanywa na watu mbalimbali  katika fukwe zilizoko kwenye ukanda wa utalii visiwani Zanzibar, zinachangia uharibifu mkubwa wa mazingira unaotishia kuwakimbiza watalii. Shughuli ya kusafisha mazingira iliyofanywa juzi katika eneo dogo kwenye ufukwe wa Muyuni ulioko Matemwe mkoa wa Kaskazini Unguja, ilikusanya karibu tani moja ya takataka zikiwemo chupa za plastiki. Operesheni hiyo iliyochukua saa moja, ilijumuisha wafanyakazi wa Amber Resort na …