IMEELEZWA kuwa kukamilika kwa ukarabati wa meli ya MV Umoja kutarudisha huduma ya usafirishaji wa mizigo katika kanda ya ziwa kupitia bandari ya Kemondo iliyopo mkoani Kagera. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, wakati akikagua Bandari hiyo kuangalia maendeleo yake, na kuitaka Mamlaka ya Bandari Nchini (TPA), Shirika la Reli …
Wafanyakazi Halotel Kufanya Usafi wa Mazingira Nchi Nzima
KUELEKEA kuwepo kwa kampeni mbalimbali zinazolenga kuboresha usafi wa mazingira na miundombinu kumeendelea kuwaamsha wadau na taasisi mbalimbali kuendelea kuunga mkono jitihada hizo, ambapo kampuni ya mawasiliano ya Halotel imezindua kampeni ya wafanyakazi wake kufanya usafi katika maeneo yote yanayozunguka minara iliyojengwa na kampuni hiyo. HALOGREEN, ndio jina la kampeni ambayo ina lengo la kuboresha mazingira yanayozunguka maeneo yaliyojengwa …
Covenant Bank yawahamasisha wanawake kununua hisa za Vodacom
KUTANGAZWA kuuzwa kwa hisa za kampuni ya Mawasiliano ya Vodcom kumeendelea kutoa hamasa kwa watu binafsi na makundi mbalimbali kuendelea kununua hisa za kampuni hiyo, Benki ya Covenant imeendelea kujikita kuwahamashisha vikundi vya wanawake kujiunga na kununua hisa za kampuni hiyo badala ya kuvunja vikundi vyao na kugawana fedha. Akizungumza katika Hafla ya uzinduzi wa kikundi cha VICOBA cha …
Mwanahabari George Binagi na Pendo Kisaka Kuuaga Ukapera
MWANAHABARI wa Redio ya Lake FM ya mkoani Mwanza na mwanablogu wa mtandao wa Binagi Media Group, George Binagi (kulia) pamoja na Miss Pendo Kisaka (kushoto), wanatarajiwa kufunga pingu za maisha March 26,2017. Wapendanao hao wanafunga ndoa hii leo March 26,2017 majira ya saa nane mchana katika Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza chini ya …
Kero ya Upatikanaji Maji Inavyowakera Akinamama Wilaya ya Kishapu
Wakati nchi ya Tanzania ikiadhimisha wiki ya maji, imeelezwa kuwa wanawake wengi wilayani Kishapu mkoani Shinyanga wamekuwa wakitumia muda mwingi kutafuta maji hivyo kushindwa kushiriki katika shughuli za maendeleo kikamilifu. Wanawake hao wamekuwa wakitumia muda wao mwingi kutafuta maji katika mto Tungu unaotenganisha wilaya ya Kishapu na Maswa mkoa wa Simiyu kabla na baada ya Uhuru wa Tanganyika …