Wanawake Wafanyabiashara Masokoni Walivyohamasika…!

   Mwenyekiti wa Soko la Gezaulole lililopo Kiwalani Bomu bomu, Muhidin Waziri ‘Ndolanga’ akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu changamoto iliyokuwepo katika soko hilo juu ya vitendo vya ukatili wa kijinsia ambavyo hivi sasa vimedhibitiwa baada ya kupata mafunzo kutoka Shirika la Equality for Growth (EfG). Kulia ni Mwezeshaji wa Kisheria wa soko hilo. …

‘RC Makonda anatuhumiwa kuingilia haki, uhuru na madaraka ya Bunge’

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amehojiwa na Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa saa tatu kuhusiana na tuhuma zinazomkabili. Makonda anatuhumiwa kuingilia haki, uhuru na madaraka ya Bunge. Taarifa zilizotolewa na Ofisi ya Bunge jana, zilisema Makonda aliwasili bungeni Dodoma jana saa nne asubuhi kuitikia wito wa kamati hiyo uliotokana na …

Wakurugenzi wa Halmashauri Nchini Wachaguana Dodoma

  Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo ambaye kachaguliwa kuwa MUWEKA HAZINA wa Wakurugenzi nchini   Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Ndg Anne Claire Shija (Kushoto) ambaye kachaguliwa kuwa katibu wa Wakurugenzi nchini Na Mathias Canal, Dodoma WAKURUGENZI wa Halmashauri za Wilaya na Manispaa kote nchini kwa kauli moja wameridhia na kuwachagua viongozi watakaowawakilisha katika kufikisha …

EfG Yapunguza Ukatili wa Kijinsia Soko la Mchikichini na Kisutu

   Mwenyekiti wa Soko la Ilala Mchikichini, Jumanne Kongogo, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu kupungua vitendo vya ukatili wa kijinsia katika soko hilo baada ya kufanyika kampeni mbalimbali za kupinga ukatili huo zilizofanywa na Shirika la Equality for Growth (EfG) kwa kipindi cha miaka mitatu.     Mwenyekiti wa Soko la Kisutu, Taminu Chande, …

Mlima Kilimanjaro ‘Amuangukia’ Waziri Dk. Mwakyembe

Gaudence Lekule akipanda mlima Kilimanjaro huku akikimbia wakati akiweka rekodi baada ya kutumia muda wa saa 8:36 mapema mwaka huu. Lekule akifurahia mara baada ya kufanikiwa kuweka ekodi ya kutumia muda wa saa 8:36 kupanda Mlima Kilimajaro na kushuka. MTANZANIA ,Gaudence Lekule (31) anayeshiriki michezo ya kupanda milima kwa kasi (Mountain Run) amemuomba Waziri mpya wa Habari,Utamaduni Sanaa na Michezo, …