For More Details Click:- Welcome to Generation T. Solved
Jacob Zuma Awatumbua Mawaziri, Yumo Waziri wa Fedha
RAIS wa nchi ya Afrika Kusini, Jacob Zuma amewafukuza kazi mawaziri wake kadhaa akiwemo Waziri wa Fedha, Pravin Gordhan pamoja na naibu wake Jonas Mkabisi ambao ndio wanaotajwa kulazimika kwake kufanya mabadiliko ya baraza lake la mawaziri. Taarifa zilizopatikana kutoka Ikulu ya nchi ya Afrika Kusini zinaeleza kuwa tayari, Malusi Gigaba ameteuliwa kuwa Waziri mpya wa Fedha wa taifa hilo …
Upatikanaji wa Pedi Bado ni Tatizo kwa Wasichana
PAMOJA na jitihada zinazofanyika kuhakikisha kuwa na vyumba maalum kwa ajili ya watoto wa kike kujisitiri wanapokuwa katika hedhi, lakini bado changamoto kubwa ni upatikanaji wa vitambaa wakati wa hedhi “pedi” kwa watoto wa kike hasa kwa watoto wasio na uwezo. Hayo yamebainika wakati wa ziara ya waandishi wilayani Kishapu walipotembelea shule mbalimbali kuangalia hali ya upatikanaji wa vyumba kwa …
RC Makonda Azungumzia Ujio wa Waziri Mkuu wa Ethiopia Tanzania
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda akizungumza na waandishi wa habari kuelezea dhamira ya ujio wa Waziri Mkuu wa Ethiopia nchini Tanzania mapema katika Ukumbi wa Benjamin Mkapa Mjini Dodoma.(Picha Zote Na Mathias Canal) Baadhi ya Wakurugenzi wa Manispaa za Jiji La Dar es salaam wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Mkoa wa Dar es …
Welcome to Generation T. Solved
4G LTE 4G LTE is the latest network technology with the highest speed and highest quality of internet than the current 3G speed offered in the whole Tanzania market at the moment. 4G LTE technology is 5 times faster than the existing 3G Data (Internet) technology. With TTCL 4G Internet, Customers will have a more stable connection to the internet …