Naibu Balozi wa Vijana EAC Awapa Somo Wanafunzi Vyuo Vikuu Arusha

Naibu Balozi wa vijana wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Suzane William Mollel, akisikiliza maoni ya mmoja wa wanafunzi waliohudhulia kwenye warsha hiyo, juu ya ufahamu wake wa Ushirikiano wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, iliyofanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Tumaini, Makumira jijini Arusha, Machi 30, 2017.

Pigo CHADEMA Mwenyekiti Wilaya Muheza Atimkia CCM

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoani Tanga kimepata pigo baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho wilaya ya Muheza, Rwebangira Mathias Karuwasha kuamua kutangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) kutokana na chama hicho kupoteza dira namwelekeo. Lakini kubwa zaidi inatokana na mambo yanayofanywa na chama hicho kwa kuiondoa uhalisi wa chama hicho ambayo wananchi …

Shirika la Meli la Ethiopia kutumia Bandari ya Dar es Salaam

Na MwandishiWetu Waziri Mkuu wa Shirikisho la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Ethiopia, Hailemariam Desalegn amesema Shirika la Meli la Ethiopia (Ethiopian Shipping Line) lipotayari kuanza kuitumia Bandari ya Dar es Salaam kutokana na kutoa huduma nzuri. “Shirika letu la Meli ambalo ni la kihistoria na lililobaki pekee katika ukanda wa Afrika likiwa linamilikiwa na Serikali ya Ethiopia sasa lipotayari kufanya …

Eneo la Lebanon Soko la Samaki Ferry Kinara kwa Ukatili wa Kijinsia

 Mwenyekiti wa Soko la Kimataifa la Samaki la Ferry, Ali Bunda akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam juzi wakati akitoa taarifa ya kupungua kwa vitendo vya ukatili wa kijinsia katika soko hilo, baada ya kupata mafunzo kutoka Shirika la Equality for Growth (EfG). Bunda alilitaja eneo la Lebanon katika soko hilo kuwa ni hatari kwa ukatili wa …

Mbunge Viti Maalum Afariki Dunia…!

  MBUNGE wa Viti Maalum (Chadema), Dk. Elly Macha amefariki dunia akiwa Uingereza alipokuwa akitibiwa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano imesema marehemu Macha alikuwa akitibiwa katika Hospitali ya New Cross, Walverhampton nchini Uingereza. Taarifa imesema taratibu za kuusafirisha mwili wa marehemu kuja nchini zinafanywa kwa …