Mkurugenzi mwenza wa Tanzanite One,Faisal Juma pamoja na viongozi wa serikali na wajumbe wa kamati ya shule ya Songambele akikagua madarasa ambayo hayatumiki kutokana na nyufa baada ya shule kukumbwa na mafuriko na kutangaza kujenga madarasa saba. Mkurugenzi mwenza wa Tanzanite One,Faisal Juma akizungumza katika mkutano na wazazi wa shule ya msingi Songambele ambayo ina uhaba wa madarasa na …
Waziri Dk Mwakyembe Azindua Vitendea Kazi TaSUBA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akipokelewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA), Dkt. Herbet wakati alipowasili katika taasisi hiyo kuzindua vitendea kazi 4 Aprili, 2017 Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani.
Watanzania Kufanya Miamala ya Kifedha Kupitia Halopesa na NMB
KATIKA kufanikisha azma ya kupanua wigo wa huduma za kifedha kwa wananchi wenye vipato tofauti, kampuni ya mawasiliano ya Halotel na benki ya NMB zimeingia katika ushirikiano utakao wawezesha mamilioni ya watanzania kunufaika na huduma za kifedha nchi nzima. Hatua hii itawawezesha watanzania wengi zaidi kufikiwa na huduma za kifedha kwa njia ya mtandao ikiwa ni …
Shindano la Hoja juu ya Rais Bora Laja…!
Ndugu Wanahabari na Watanzania wenzangu; NIANZE kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa fursa hii. Pia niwashukuru ninyi nyote mlioweza kufika hapa. Vilevile nawashukuru wote walioanza kuunga mkono harakati hizi na hatimae tumeweza kufikia hatua hii ya kuwepo kwa mkutano huu muhimu sana katika mstakabali wa taifa letu. Ndugu Wanahabari na Watanzania wenzangu; Tumekutana hapa kwa nia ya kukumbushana sisi kwa sisi, wapi hapajakaa …
Hii ni Mpya Kutoka TTCL…!
For More Details Click:- Welcome to Generation T. Solved
Tamasha la Muziki Karibu Latangaza Nafasi za Ushiriki kwa Wasanii
UONGOZI wa Tamasha la muziki la Karibu wakishirikiana na Legendary Music Entertainment wametangaza nafasi kwa wasanii wa muziki na vikundi mbalimbali vya muziki kuomba nafasi za kutumbuiza kwenye tamasha la 4 kwenye uwanja wa Mwanakalenge, Bagamoyo Tamasha hilo lenye hadhi ya kimataifa litakua la siku tatu mfululizo litakalofanyika tarehe 3-5 Novemba mwaka huu. Watumbuizaji katika tamasha hili ni wasanii wa …