Welcome to Generation T. Solved For More Details Click:- http://www.ttcl.co.tz/
Mvua Zakata Mawasiliano Chalinze, Wananchi Wabebwa Kuvushwa…!
MBUNGE wa jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete,akiangalia barabara kutoka Vigwaza-Mwavi iliyoharibika vibaya eneo la Buyuni hali inayosababisha magari kushindwa kupita. Mbunge wa jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete,akizungumzia kero ya kuharibika kwa baadhi ya miundombinu ya barabara kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha,ambapo mvua iliyonyesha april 7 na 8 imesababisha kuharibu barabara ya Vigwaza-Buyuni-Mwavi na ya Milo-Kitonga-Ruvu. Baadhi ya wakazi wanaotumia …
DC Asema Mazoezi Yanajenga Uchumi Imara wa Nchi
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela akicheza Mpira wa kikapu kuashiria kuwa anapenda Mpira wa kikapu. Na Fredy Mgunda, Iringa MKUU wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela aliwaomba wananchi kuendelea kufanya mazoezi kwa ajili ya kuimalisha afya zao pamoja kuujenga uchumi wa nchi hii. Tukiendelea kufanya mazoezi tutapunguza sana kupata magonjwa mbalimbali kwa kuwa tuna kuwa tunaimalisha afya na kujenga miili …
NMB Yadhamini Mkutano wa Mwaka wa TEF
BENKI ya NMB imedhamini mkutano mkuu wa mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) uliofanyika kwa siku moja ya Aprili 4, 2017 mkoani Kilimanjaro na kuhudhuriwa na wahariri wa vyombo mbalimbali nchini ambao ni wanachama wa TEF. Akizungumza katika uzinduzi wa mkutano huo, Afisa Mkuu wa Wateja Wakubwa na Serikali, Richard Makungwa alisema NMB inathamini mchango wa …
SIDO Yawatunuku Vyeti Wajasiriamali wa Vipodozi Mtwara
Meneja wa SIDO Mkoa wa Mtwara, ndugu Joel Chidabwa akiwatunukia vyeti wahitimu wa mafunzo ya ujasiriamali na matumizi ya vipodozi kwa wanawake wa mkoa wa Mtwara. Ndg. Chidabwa alifunga rasmi mafunzo hayo ya wiki mbili yaliyoandaliwa na kutolewa bure na taasisi ya Manjano Foundation mkoani Mtwara. Katika mafunzo hayo ya ujarisiamali na matumizi sahihi ya vipodozi, yalitolewa kwa wanawake …
Tata Yafadhili Watanzania Kwenda Kozi ya Kutengeneza Magari India
Mkuu wa Kitengo cha Magari wa Kampuni ya Tata Tanzania, Prashant Shukla (kulia), akizungumza Makao Makuu ya Kampuni hiyo Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam jana, wakati wa hafla ya kuwaaga vijana wanne wa kitanzania ambao wanakwenda nchini India kwa mafunzo ya miezi tisa ya kutengeneza magari. Kutoka kushoto ni viongozi wa kampuni hiyo, Sarvan Keshri na Udayagiri …