Welcome to Generation T. Solved For More Details Click:- http://www.ttcl.co.tz/
Dk Wilson Ngwale Apewa Uwenyekiti Bodi ya TBA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Waziri wa Ujenzi, Uchukukuzi na Mawasiliano, Mhe. Prof. Makame Mnyaa Mbarawa (Mb), kwa mamlaka aliyopewa kwa mujibu wa Sheria ya Wakala wa Serikali Na. 30 ya mwaka 1997 pamoja na marekebisho yake kupitia Sheria Na. 13 ya mwaka 2009 amemteua Dkt. Edward Wilson Ngwale kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Majengo Tanzania …
NSSF Tabora Yatoa Msaada wa Mifuko 50 ya Saruji Kusaidia Ujenzi wa Zahanati
Afisa wa Uhasibu Mwandamizi wa NSSF Tabora Bw. Mussa Ndelemiko, akitoa utambulisho na dhumuni la ziara ya viongozi wa NSSF katika Kata ya Mtendeni Manispaa ya Tabora mkoani Tabora. Afisa Mtendaji Kata ya Mtendeni Manispaa ya Tabora Bi. Rehema Midelo (kulia), akitoa utambulisho wa viongozi wa Kata. Meneja wa NSSF Mkoa wa Tabora Bi. Nour Aziz akizungumza wakati wa …
MSD Yashiriki Jukwaa la Biashara la TSN
Na Mwandishi Wetu, Mwanza BOHARI ya Dawa (MSD) imeshiriki Jukwaa la Biashara, lililoandaliwa na Kampuni ya magazeti ya TSN, jijini Mwanza. Katika Jukwaa hilo,MSD pia imeshiriki maonesho ya vifaa tiba. Akiwasilisha mada katika jukwaa hilo jijini Mwanza jana Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD) Laurean Bwanakunu (pichani kulia) amewahakikishia wadau wa Mwanza fursa ya uwekezaji kwenye viwanda vya kuzalisha dawa …