Rais Magufuli Awalilia Askari Nane Waliouwawa na Majambazi Kibiti

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za vifo vya Askari Polisi 8 waliouawa kwa kushambuliwa na watu wenye silaha jana jioni tarehe 13 Aprili, 2017 katika eneo la Jaribu Mpakani, Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani. Askari Polisi hao walikuwa wakitoka kubadilishana doria na wameshambuliwa kwa kupigwa risasi …

Pumzika kwa Amani Isango Wangu…!

NIMEPOKEA kwa mstuko mkubwa taarifa ya kifo cha mwandishi wa habari mwenzetu na aliyekuwa mfanyakazi wa kampuni ya Hali Halisi Publishers Limited (HHPL), Josephat Isango, kilichotokea asubuhi ya leo, tarehe 14 Aprili 2017. Nilianza kufahamiana na Isango wakati akiwa mchangiaji wa makala katika magazeti mbalimbali na baadaye akajiunga na gazeti la Tanzania Daima. Namfahamu kama mchapakazi, mwadilifu na mkweli. Alikuwa …

NMB washiriki kampeni kuhamasisha vijana uelewa masuala ya fedha

                  Na Mwandishi Wetu BENKI ya NMB imeshiriki kampeni zilizoendeshwa na Shirika la Kimataifa la Mfuko wa Mtaji wa Maendeleo UN- CDF zinazowakutanisha vijana pamoja na mashirika mbalimbali yanayofanya kazi kuwahusisha maendeleo ya vijana. Kampeni hizo ‘BankTheYouth’ zilizowakutanisha vijana na kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili zimelenga kuhamasisha vijana nchini kupata uelewa wa masuala …

Rais Magufuli Mgeni Rasmi Uzinduzi Mabweni ya Wanafunzi UDSM

  RAIS Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa mabweni mapya ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam siku ya Jumamosi tarehe 15 Aprili, 2017. Katika siku hiyo hiyo, Mhe. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ataweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa nyumba …

Makao Makuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu Kukamilika Baada ya Miezi 10

      Benjamin Sawe, Maelezo-Dodoma MKURUGENZI Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dk. Albina Chuwa ametaka ujenzi wa makao makuu ya ofisi hiyo unaoendelea mjini Dodom ukamilishwe kwa wakati. Akizungumza mjini hapa jana baada ya kukagua ujenzi wa ofisi hiyo, Dk. Chuwa alisema ni wakati sasa kwa NBS kuwa na ofisi yenye hadhi kwa ajili ya kuboresha …