Rais Magufuli Aagiza TCU Kutowachagulia Vyuo Wanafunzi Elimu ya Juu

Na Lilian Lundo na Beatrice Lyimo RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameiagiza Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kutowachagulia vyuo wanafunzi wa elimu ya juu na kuwaacha wanafunzi hao kuchagua vyuo wanavyovitaka wenyewe. Agizo hilo limetolewa leo, Jijini Dar es Salaam Rais Magufuli alipokuwa akizindua Mabweni mapya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam …

Askari Polisi Nane Waliouawa na Majambazi Kibiti Waagwa…!

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchini, Mwigulu Nchemba, akitoa pole kwa wafiwa.   Ndugu,jamaa na marafiki wa wafiwa wakiwa katika shughuli hiyo ya kuaga miili ya wapendwa wao. Maofisa wa Uhamiaji wakiwa kwenye shughuli hiyo. Wananchi wakiwa katika shughuli hiyo ya uagaji wa miili hiyo. Maofisa wa Polisi wakishiriki kuaga miili ya wenzao hao. Foleni ya kuaga miili hiyo. …

Taasisi ya Tree of Hope Yawakutanisha wadau na viongozi wa dini Tanga

JAMII imetakiwa kupiga vita vitendo vya ukatili wa kijinsia watoto na wazee ikiwa na pamoja na viongozi wa dini kuzitumia nafasi zao kukomesha ukatili huo. Akifungua katika mkutano wa wadau uliowashirikisha viongozi wa dini na wadau mbalimbali kutoka Wilaya ya Pangani, Lushoto, Handeni na Tanga mjini kupitia mradi wa GBV, Mkurugenzi wa Tree of Hope, Fortunata Manyeresa, alisema viongozi wa …

Waziri Mkuu Mstaafu wa Israel Atembelea Hifadhi za Serengeti na Ngorongoro

Waziri Mkuu wa zamani wa Taifa la Israel,Ehud Barak (kushoto) akimueleza jambo Naibu Waziri wa Malisili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani baada ya kukutana katika eneo la Makumbusho ya kale la Olduvai Gorge ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro akiwa njiani kuelekea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti (kushoto) ni Meneja Mawasiliano wa TANAPA,Pascal Shelutete. Mhandisi Ramo Makani akimueleza jambo Waziri Mkuu wa zamani …

Kampuni ya TTCL Yatoa Msaada wa Pasaka kwa Yatima

      KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imetoa msaada wa vyakula mbalimbali na vinywaji katika vituo vya watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu kwa ajili ya kusherekea Siku Kuu ya Pasaka. Msaada huo wenye thamani ya shilingi milioni nne umetolewa leo Makao Makuu ya TTCL jijini Dar es Salaam ikiwa ni utaratibu wa kampuni hiyo kurejesha sehemu ya faida kwa …

ASKOFU DK MALASUSA AONGOZA IBADA YA IJUMAA KUU KKKT

 Igizo likiendelea.  Askofu mstaafu Dk. Alex Malasusa akisalimiana na waumini wa kanisa hilo baada ya ibada ya Ijumaa Kuu.  Muonekano wa waumini wakati wa ibada hiyo.  Kwaya Kuu ya Ushairika huo ikitoa burudani ya nyimbo za kifo chake Yesu Kristo wakati wa kuhitimisha ibada hiyo.  Waumini wa kanisa hilo wakiwa nje kwa kuhitimisha ibada hiyo. Waumini wakitakiana kheri ya Ijumaa …