Mila Potofu Kikwazo Matibabu ya Watoto Wenye Vichwa Vikubwa na Mgongo Wazi

    WITO umetolewa kwa jamii ya watanzania kuacha mila potofu inayopelekea tabia ya baadhi ya wazazi kuwaficha watoto wenye matatizo mbalimbali hasa tatizo la kichwa kikubwa na mgongo wazi bali wawapeleke hospitali mapema ili wapate matibabu kwani wanaweza kupona endapo wakiwahishwa hospitali. Wito huo umetolewa na Afisa Mawasiliano mwandamizi wa Hospitali ya Mifupa (MOI) Bi. Mary Ochieng, wakati akitoa …

NMB Yapata Faida ya Shilingi Bilioni 153.7 kwa Mwaka 2016

  • Ni ongezeko la asilimia 2.4 la faida • Kwa miaka 10 mfululizo, NMB imeendelea kuongoza kwa faida nchini BENKI ya NMB imepata ongezeko la faida la asilimia 2.4 baada ya kodi kwa mwaka 2016. Mkurugenzi Mkuu wa benki ya NMB – Ineke Bussemaker amesema kwamba licha ya changamoto zilizoikabili sekta ya fedha na uchumi kwa ujumla kwa mwaka …

Wasanii wa Nyimbo za Injili Watia Fora Tamasha la Pasaka

  Waibaji wa kwaya ya Sauti ya Mungu kutoka Kanisa la Siloam, Mbezi, Makonde jijini Dar es Salaam, wakiimba na kucheza wimbo unaoitwa Mungu uliyetuumba wote, vizazi vyote katika Tamasha la Pasaka lililoandaliwa na Kampuni ya Msama Promotions, Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Picha zote na Kassim Mbarouk.   Vijana wa Kwaya ya KKKT Mwananyamala, wakiimba na kucheza …

WLAC Waibuka na Mabonanza Kupinga Ukatili wa Kijinsia

Na Karama Kenyunko KITUO cha Msaada wa Kisheria kwa Wanawake (WLAC), kimeanzisha bonanza maalum la michezo kwa ajili ya kuhamasisha jamii kupinga ukatili wa kijinsia. Bonanza hilo, limefunguliwa na mratibu wa WLAC, Abia Richard jijini Dar es Salaam. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa Bonanza hilo uliofanyika Mwembe Yanga, Temek, Abia amesema lengo la kuanzishwakwa bonanza hilo ni kutaka kuwaunganisha watanzania kupambana …

Rais Makufuli Atoa Zawadi ya Pasaka kwa Vituo vya Yatima

  Anthony Ishengoma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametoa zawadi zenye thamani ya Shilingi milioni 11,782,000/= kwa jumla ya vituo 9 katika Mkoa wa Dar es Salaam, 2 Zanzibar na 21 kutoka kwenye mikoa ya Tanzania Bara kwa ajili sikukuu ya Pasaka . Akikabidhi zawadi hizo kwa niaba ya Mhe. Rais,Kamishna wa Ustawi wa …