Utalii wa Baloon Wawavutia Watalii Hifadhi ya Taifa Serengeti

    Kikapu maalumu kinachotumika katika Baloon kwa ajili ya kubeba watalii kikishushwa katika eneo la Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kwa ajili ya Utalii wa Baloon. Waandaaji wa Baloon wakifanya maandalizi ya kuliandaa Baloon hilo kwa ajili ya kubeba wageni wakati wa maandalizi ya kutalii katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Rubani wa Baloon linalo milikiwa na Kampuni ya …

Machinga Wauza Filamu za Kigeni Waandamana, Wamtaka JPM

    NA ELISA SHUNDA,DAR WAFANYABIASHARA wadogo wadogo ‘Machinga’ wanaouza filamu za kigeni wameandamana wakiomba kukutana na Rais John Magufuli ili kusikilizwa juu ya kupigwa marufuku kuuza filamu hizo hapa nchini. Marufuku hiyo ilitolewa na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Harrison Mwakyembe, siku chache baada ya kuteuliwa katika nafasi hiyo mara baada ya kukutana na waigizaji wa ndani …

Mkurugenzi Jiji la Arusha Awanoa Watendaji

Na Mwandishi Wetu, Arusha MKURUGENZI wa Jiji la Arusha Ndg Athumani Juma Kihamia amefanya kikao na watumishi wa serikali katika Kata ya Muriety na Terati na kuzungumza mambo mbalimbali ambayo yatasaidia kuboresha utendaji kazi wao. Kihamia amesema kuwa lengo hasa la kuonana na watumishi hao ni muendelezo wa ziara yake ya kutembela kila Kata na kuwakumbusha watumishi hao jinsi ya kuendana na kasi ya serikali ya …

Mtambo Ruvu Juu Wakamilika, Wazalisha Lita Milioni 196

  Mtambo huu ni sehemu ambapo maji huendelea kusafishwa na kisha kupelekwa katika mtambo maalum wa kukusanya na kusafirisha kwenda kwa wananchi.   Matanki makubwa ya maji yenye mitambo maalum ya kusafisha maji kama inavyoonekana hapa maji  yakiendelea kusafishwa.   Sehemu hii ni ya mtambo ambapo maji yanawekwa dawa na kisha kupelekwa katika sehemu ya mtambo mwingine kwa ajili ya …

Mwimbaji Jimmy Gospian Ashinda Tuzo ya Zaburi Awards 2016/17 Kanda ya Ziwa

GOSPIAN kutoka ngome ya BMG, aliibuka mshindi katika kipengere cha Mwimbaji Bora Chipukizi wa Kiume ambapo washindi wa tuzo hizo walipatikana kwa wingi wa kura za mashabiki. Washindi wengine kwenye tuzo hizo ni; Kwaya Bora-Mwanza Singers, Albamu Bora-Pokea Sifa ya Rebeka Pius, Mwimbaji Bora wa Kike-Betty Lucas, Mwimbaji Bora wa Kiume-Derick Ndonge, Mwimbaji Bora Chipukizi wa Kike-Julieth Busagi, Kundi Bora-Kihayile …

JACQUELINE NTUYABALIWE ANYAKUA TUZO ZA A-PRIME DESIGN

  Mrembo wa Tanzania mwenye tamaa ya kuwa na himaya ya samani za kimataifa kupitia kampuni yake, kama alivyowahi kuelezwa na jarida la Forbes hivi karibuni, Jacqueline Ntuyabaliwe ametwaa tuzo mbili za ubunifu kupitia kampuni ya Molocaho by Amorette. Ushindi wake huo unamuingiza katika kundi la watu wenye ubunifu mkubwa wa bidhaa za majumbani na katika maofisi, muda mfupi tangu …