Meneja Masoko wa TBL Kitengo cha Bia Laini Afrika Mashariki, Amou Majok (katikati), akizungumza kwenye mkutano huo. Mkutano ukiendelea. Waandishi wa habari wakiwa katika uzinduzi huo. Wanahabari wakichukua taarifa hiyo. Mkutano na wanahabari ukiendelea. Na Dotto Mwaibale KAMPUNI ya kutengeneza Bia Tanzania (TBL) imezindua kampeni ijulikanayo, ‘Castle Lite Unlocks’ ambayo lengo lake ni kuhamasisha wateja wake wa bia chapa …
KRC Genk ya Mbwana Samatta yafia nyumbani Europa League.
Celta Vigo imepata safe ya bao 1-1 dhidi ya Genk ya Ubelgiji ambayo anaichezea Mtanzania Mbwana Samatta. Sare hiyo inaivusha Celta hadi nusu fainali ya Europa League kwa kuwa mechi ya kwanza nyumbani ilishinda kwa mabao 3-2. Juhudi za Samatta kuhakikisha Genk inasonga mbele dhidi ya timu hiyo ya Hispania, ziligonga mwamba. Mechi hiyo iliyochezwa kwenye Uwanja wa Cristal Arena …
Prof Kitila Mkumbo Atembelea Mtambo wa Ruvu Juu
Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Prof. Kitila Mkumbo (Kushoto) akionyeshwa na Mkandarasi wa Kampuni ya WABAG toka nchini India maeneo ambayo maji yanapita kuelekea kwa wananchi wakati wa ziara yake ya kikazi katika eneo la tanki la maji safi lililopo Kibamba 19 Aprili, 2017. Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi wa Mamlaka ya Maji Safi na Majitaka (DAWASA), …
KahamaSME’s Now to Enjoy NMB Business Centre Services
• Kahama Business Centre adds to the number of Business Centres to 10 • To serve Shinyanga, Tabora and Kigoma NATIONAL Microfinance Bank Plc (NMB) has today opened a new business center in Kahama– Kahama Business Centrewhich will serve the Western Zone regions of Shinyanga, Tabora and Kigoma. To boost the Micro, Small and Medium Enterprises (MSME) in the …
Simba yaijia juu kamati ya TFF juu ya sakata la Kagera Sugar, yalia usiku na mchana.
Wakati kamati ya Sheria,Katiba na Hadhi za Wachezaji ikitaraji kutoa maamuzi muda wowote kuanzia sasa juu ya hatma ya pointi tatu na mabao matatu waliyopewa klabu ya Simba,baada ya klabu ya Kagera Sugar kuwasilisha malalamiko TFF wakipinga maamuzi ya kupokwa pointi tatu na kamati ya saa 72 leo hii uongozi wa Simba umeweka bayana juu ya swala hilo. Akiongea mbele …