NA MWANDISHI WETU NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Dk, Juliana Palangyo, (pichani anayezungumza), ametembelea miradi ya kuzalisha umeme wa Gesi Asilia ya upanuzi wa Kinyerezi I pamoja na ule wa Kinyerezi II. Akizungumza katika ziara yake ya kukagua miradi hiyo, Dk. Pallangyo ameridhishwa sana na jitihada zinazofanywa na Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), katika kuhakikisha Miradi hiyo inakamilika kwa wakati, ambapo mpaka sasa …
Shirika la USAID wazindua filamu ya TUNU
shirika la watu wa marekani USAID limezindua filamu ya TUNU ambayo ni Kiswahili ikiwan imechezwa na waigizaji wa kitanzania, huku ikiwa na lengo la kuleta ujumbe muhimu na wa kipekee katika vipaumbele vilivyoko nchini Tanzania. Uzinduzi huo umefanyika katika ukumbumbi wa sinema wa suncrest Cineplex Cinema uliopo Quality Center jijini Dar es salaam ambapo kuliudhuriwa na wageni mbalimbali. vilamu …
Kampuni ya Sun King Yafungua Ofisi Jijini Mwanza…!
Meneja Masoko wa kampuni ya Sun King nchini Tanzania, Albert Msengezi, akizungumza na wanahabari kwenye uzinduzi rasmi wa ofisi na bidhaa za Sun King nchini, uliofanyika hii leo Buzuruga Plaza Jijini Mwanza. Mkuu wa Masoko wa kampuni ya Sun King Tanzania, Judie Wu, akizungumza kwenye uzinduzi rasmi wa ofisi na bidhaa za Sun King nchini Tanzania, uliofanyika Buzuruga Plaza Jijini Mwanza …
WATUMISHI SEKTA YA UJENZI WAPEWA SOMO
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng.Joseph Nyamhanga, amewataka watumishi wa Wizara hiyo kutekeleza majukumu yao kwa weledi na uadilifu ili kuendana na kasi ya mabadiliko ya Serikali ya Awamu ya Tano. Akisoma hotuba ya ufunguzi kwa niaba ya Waziri wa Wizara hiyo Profesa Makame Mbarawa, katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi …
TANZANIA CHAMBER OF MINERALS AND ENERGY – PRESS STATEMENT
TANZANIA CHAMBER OF MINERALS AND ENERGY – PRESS STATEMENT THE MINING INDUSTRY AND TAXES TANZANIA Chamber of Minerals and Energy (TCME) notes with concern the false allegations that Mining Companies have not been paying taxes in Tanzania. The Chamber represents member companies in the formal mining sector, from junior explorers to large-scale producers as well as medium scale miners. The …