NA CHRISTINA MWAGALA, OMJ MEYA wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita, ameondoka Nchini jana kuelekea Iran kwa mualiko wa ziara ya kikazi ya siku 10 ikiwemo na mkutano wa siku mbili utakaofanyika katika mji wa Bashar. Aidha Meya atapata nafasi ya kuzungumza na Rais wa Jamhuri ya Kiislamu wa Iran, Hassan Rouhani kabla ya kufanyika kwa …
NMB Yakabidhi Jengo la Kupumzikia Wagonjwa JKCI
Na Mwandishi Wetu BENKI ya NMB jana ilikabidhi Jengo maalumu la kupumzikia wagonjwa wa nje na wasaidizi wao wanaowaleta wagonjwa kupata huduma katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) ililopo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam. Akikabidhi jengo hilo lenye uwezo wa kuhifadhi watu 100 kwa pamoja wakiwa wamekaa kusubiri huduma, …
Vyama vya siasa havipo juu ya Sheria, vinapaswa kuheshimu na kufuata Sheria za nchi; Jaji Francis Muntungi
Nimesoma na kuona katika vyombo mbalimbali vya habari kuhusu vurugu zilizotokea tarehe 22 Aprili, 2017 katika hoteli ya Vina, Mabibo hapa Dar es salaam, zinazosemekana kuhusisha wanachama wa CUF. Ni ukweli usiopingika kuwa, suala la mgogoro wa uongozi katika chama cha CUF lipo mahakamani, lakini nikiwa msimamizi wa Sheria ya Vyama vya Siasa na kutambuliwa na jamii kuwa ni mlezi …
Show ya El Classico yamalizwa na Messi sekunde za mwisho.
Mshambuliaji wa Barcelona na timu ya Taifa ya Argentina Lionel Messi ndio ameonekana kuwa hatari zaidi kwa kumsababishia Sergio Ramos kupata kadi nyekundu ya 22 katika historia yake ya soka kutoka na kumchezea Lionel Messi faulo dakika ya 77, Lionel Messi ndio alikuwa hatari na kufanikiwa kufunga magoli mawili dakika ya 33 na 90 baada ya Ivan Rakitic kufunga goli la pili dakika …
Uzinduzi Mashindano ya Mei Mosi Kitaifa Wafanyika Mjini Moshi
Timu ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro wakiingia uwanjani . Timu ya Wizara ya Uchukuzi wakingia uwanjani. Timu za Mashirika na Taasisi mbalimbali wakiwa wamebeba mabango wakati wa ufunguzi rasmi wa mashindano ya Mei Mosi yanayofanyika kitaifa mjini Moshi. Katibu Mkuu wa Kamati ya Mashindano ya Mei Mosi kitaifa ,Awadi Safari akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa mashindano hayo uliodfanyika …