BENKI ya NMB imekutanisha wafanyabiashara zaidi ya 500 wa jijini Dar es Salaam waliopo katika jumuia ya wafanyabiashara wa NMB “NMB Business Club” kwa lengo la kutoa mafunzo mbalimbali ya biashara pamoja na mafunzo ya kodi ili kukuza biashara zao. Kundi hilo la NMB Business Club mkoa wa Dar es Salaam limekutanishwa kwa …
MIGODI YA ACACIA YAWA KIVUTIO MAONESHO WIKI YA USALAMA NA AFYA
Maonesho ya Wiki ya Usalama na Afya mahala pa kazi yanayofanyika Moshi mkoani Kilimanjaro. Maonesho haya yanayohusisha kampuni na Taasisi mbalimbali nchini yanaratibiwa na Wakala wa Usalama na Afya mahala pa Kazi (OSHA). Baadhi ya Wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu unaomilikiwa na Kampuni ya ACACIA,wakiweka sawa moja ya picha inayoonesha eneo ambalo shughuli za uchimbaji unafanyika. Afisa …
IVORY BAND YAPANIA KUPAA KATIKA ANGA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA
IJUMAA hii na kila Ijumaa ni siku ya raha na starehe kwa wakazi wa Tabata na vitongoji vyake, maana mara tu baada ya jua kuzama kiota maarufu cha NEXT DOOR kilichopo katika kitongoji hicho cha wastaarabu huwaka moto wa midundo ya aina mbalimbali inayoporomoshwa na IVORY BAND iliyosheheni vipaji visivyo vya kawaida. Ripota wetu alipotembelea hapo katika ukumbi wa NEXT …
Sekta Binafsi Kukutana na Rais Mkutano wa TNBC
WADAU wa Sekta binafsi nchini Jumanne wiki hii, wamefanya mkutano ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mkutano wao na serikali chini ya jukwaa la Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) unaotarajiwa kufanyika Mei 6 mwaka huu. Mkutano huo wa ndani uliandaliwa na Taasisi ya Sekta binafsi nchini – TPSF ulilenga kuwekana sawa kuhusu namna bora ya kuiwakilisha sekta binafsi katika …
Rais Magufuli Mgeni Rasmi Siku ya Uhuru wa Habari Duniani
RAIS wa Tanzania Mh. Dk John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani(WPFD) inayotarajia kufanyika mkoani Mwanza. Maadhimisho hayo ya siku mbili yaani Mei 2 na 3, 2017 yanatarajia kuwakutanisha wanataaluma ya habari na wadau anuai wa vyombo vya habari kujadili masuala mbalimbali ya tasnia ya …