CHEMBA ya Madini na Nishati (TCME) imetambua na kuguswa na taarifa zisizo sahihi kwamba kampuni zinazojihusisha na uchimbaji mkubwa wa madini zimekuwa zikifanya shughuli zake hapa nchini bila ya kulipa kodi ya mapato. Chemba hii ni muwakilishi wa makampuni wanachama waliorasimisha shughuli zao katika sekta ya madini kuanzia kampuni ndogo za utafiti wa madini hadi wachimbaji wakubwa na wa kati …
BENKI YA NMB YAISAIDIA TIMU YA SINGIDA UNITED VIFAA VYA MICHEZO VYA SH.MILIONI 10
Katibu wa Timu ya Singida United, Abdurahman Sima (kushoto), akizungumza wakati wa hafla fupi ya kupokea vifaa hivyo. Ofisa Mkuu wa Wateja Wakubwa na Serikali wa Benki ya NMB, Richard Makungwa (katikati), akizungumza katika hafla ya kukabidhi vifaa hivyo. Kulia ni Mwenyekiti wa timu hiyo, Yusuph Mwandani. Mkutano na wanahabari ukiendelea. Hapa ni makabidhiano ya jezi. Vifaa vilivyokabidhiwa vikioneshwa kwa …
Meya wa Jiji la Dar Amtembelea Mjane wa Bob Makani
Na Christina Mwagala, OMJ MEYA wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita leo amemtembele mjane wa aliyekuwa Mhasisi na Katibu Mkuu wa kwanza wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bob Makani , Mama Kaboga Makani ikiwa ni moja ya ziara zake za kutembelea wazee pamoja na viongozi ambao waliwahi kushika nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya …
NEC Yaitangaza Rasmi Nafasi ya Dk. Elly Macha wa Chadema
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza kuwepo kwa nafasi wazi ya Mbunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA, kufuatia kifo cha Mbunge wa Viti Maalum wa chama hicho Mhe. Dr. Elly Marko Macha aliyefariki tarehe 31 Machi 2017. Akitoa taarifa ya nafasi hiyo kuwa wazi Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji wa Rufaa Mhe. …
Kongamano Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani Lafana
Mkurugenzi Mkuu wa Wakfu wa Vyombo vya Habari nchini (TMF), Ernest Sungura, akiwasilisha mada hii leo kwenye Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2017, linalofanyika kitaifa Jijini Mwanza. Mtaalamu wa masuala ya teknolojia nchini, Innocent Mungy, akiwasilisha mada kwenye Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2017, linalofanyika kitaifa Jijini Mwanza. Mwanasheria na …