JIJI la Arusha na viunga vyake leo limezizima kwa manjozi wakati miili ya wanafunzi 32, walimu Wawili na Dereva wao mmoja wote kutoka shule ya Lucky Visent ilipoagwa rasmi kitaifa kabla ya mazishi yao. Hali hiyo ya majonzi na maombolezo imetawala Tanzania nzima tangu kutokea kwa taarifa hizo za kusikitisha zilizomgusa kila mmoja. Kwa mara ya kwanza idadi kubwa …
NBS: Mfumuko wa Bei ya Bidhaa Tanzania ‘Wang’ang’ania’ 6.4%
Mkutano na wanahabari ukiendelea. Wanahabari wakichua taarifa hiyo. Na Dotto Mwaibale MFUMUKO wa bei wa Taifa kwa kipimo cha mwaka umebaki kuwa asilimia 6.4 kama ilivyokuwa mwezi uliopita. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi wa Sensa za watu na takwimu wa Ofis ya Taifa ya Takwimu,(NBS), Ephraim Kwesigabo, alisema hii inamaanisha kuwa kasi …
TGGA Wautetea Utalii wa Mlima Kilimanjaro Nchini Mexico
Mmoja wa viongozi wa vijana wa Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), Dk. Helga Mutasingwa (kulia), akilakiwa na Katibu wa Taifa wa TGGA, Grace Shaba baada ya kuwasili jana kwenye Uwanja wa wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam jana. Na Richard Mwaikenda KIONGOZI wa Vijana wa Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), Dk. Helga Mutasingwa amefanya …
Wananchi Waiomba Serikali Kukamilisha Daraja SIBITI
WANANCHI wa kata ya Mpambala, wilaya ya Mkalama mkoani Singida wameiomba Serikali kuhakikisha inamaliza ujenzi wa Daraja la Mto Sibiti haraka iwezekanavyo ili kurahisisha huduma za mawasiliano kati ya wilaya ya hiyo na mikoa jirani ya Simiyu, Manyara na Mara. Wananchi hao wamemweleza Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani, alipofika kukagua daraja …
Bunge Sports Club yaibuka Kidedea Mechi za Kirafiki na NMB
TIMU ya Bunge Sports Club inayojumuisha timu ya mpira wa miguu, mpira wa pete na kikapu imeibuka washindi na kunyakua vikombe vitatu katika bonanza lililozikutanisha timu ya Bunge na timu ya Benki za NMB. Timu ya kwanza ya Bunge kushinda kikombe ilikuwa timu ya mpira wa pete ambaye iliifunga timu ya pete ya NMB magoli 19 …
Mbunge Viti Maalum Atoa Vifaa Tiba Vituo vya Afya Kishapu
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Azza Hilal Hamad, Mei 6,2017 amekabidhi Vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 12.6 katika vituo vya afya vinne vya afya ambavyo ni Nhobola, Songwa, Ng’wang’haranga na Dulisi vilivyopo wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga. Vifaa tiba hivyo ni Vitanda sita vya kisasa vya kujifungulia kwa akina mama wajawazito,vitanda sita kwa ajili …