Friends of oceans wakiendelea na usafi wa fukwe ya Escape one ikiwa kama uzinduzi wa kuanza usafi huo kwa kila mwezi na pia kuendelea kutoa elimu kwa umma kuhusu umuhimu wa kutunza mazingira na rasilimali za bahari. Usafi ukiendelea katika fukwe ya Escape One ambapo kulikutwa chupa za bia,makopo ya maji, sindano na vingi ambavyo ni hatari kwa …
Mbunge wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Wakabidhi Vifaa Kwa Shughuli za Kijamii
Mbunge wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Khalifa Salim Suleiman akizungumza na wananchi wa jimbo lake wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa kwa ajili ya matumizi ya shughuli za kijamii katika jimbo lao ikiwa ni kutimiza ahadi kwa wananchi wa jimbo lao walioitowa wakati wa kampeni ya uchaguzi. Hafla hiyo imefanyika katika tawi la CCMTunguu Wilaya ya Kati Unguja. Mbunge …
HaloPesa, Selcom Kupanua Wigo wa Huduma za Kifedha
KATIKA kufanikisha azma ya kupanua wigo wa huduma za kifedha kwa wananchi wenye vipato tofauti, kampuni ya mawasiliano ya Halotel imeendelea kuunganisha huduma yake ya Halopesa na huduma nyingine zaidi ili kuendelea kurahisisha upatikanaji wa huduma za kifedha kwa Watanzania. Katika kulifanikisha hilo Halotel imeingia makubaliano ya mkataba wa utoaji wa huduma na kampuni ya Selcom, ushirikiano utakaowawezesha …
MAPAMBANO DAWA ZA KULEVYA NA UVUVI HARAMU YASHIKA KASI NYAMAGANA
Mkuu wa polisi wilayani Kamagana akizungumza kwenye kikao hicho. Katibu wa mkuu wa wilaya ya Nyamagana akizungumza kwenye kikao hicho. Afisa uvuvi halmashauri ya Jiji la Mwanza akizungumza kwenye kikao hicho. Wakili wa Serikali, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali mkoani Mwanza, akizungumza kwenye kikao hicho. Wakili wa Serikali, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali mkoani Mwanza, akizungumza kwenye kikao …
Emmanuel Macron Rais Mpya Taifa la Ufaransa
EMMANUEL Macron ameshinda Uchaguzi wa Urais wa Ufaransa. Matokeo yanaonesha Macron amemuacha kwa mbali mpinzani wake Bi Marine Le Pen kwa kujinyakulia asilimia 65 ya kura. Maelfu ya wanaomuunga mkono Macron walisherehekea katika kati mwa Paris wakipeperusha bendera. Akiwa na miaka 39, Macron anakuwa rais waumri mdogo zaidi wa kuchaguliwa kuwahi kuiongoza Ufaransa na wa kwanza kuchaguliwa kutoka nje ya …
Katibu wa NEC CCM Zanzibar Awataka Wanachama Kutumia Fursa ya Uchaguzi
Na Is-Haka Omar, Zanzibar KATIBU wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar, Waride Bakari Jabu amewataka wanachama wa CCM Tawi la Chukwani kutumia vizuri fursa ya Uchaguzi wa Chama kuwachagua viongozi na watendaji waadilifu na wasioyumbishwa wakati wanapotekeleza majukumu. Rai hiyo aliitoa wakati akizungumza na wanachama na Kamati ya siasa ya Tawi la Chukwani katika …