BENKI YA NMB YAFANIKISHA SIKU YA WAUGUZI MKOANI GEITA

        Na Joel Maduka BENKI ya NMB Tawi la Geita limetoa fulana 360 kwenye siku ya Wauguzi Duniani lengo likiwa ni kuendelea na Jitihada zake za kuwa karibu na jamii. Akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya wauguzi ambapo Kimkoa yamefanyika mkoani Geita, Meneja Mahusiano Biashara za serikali Kanda ya Ziwa, Bi. Suma Mwainunu, amesema kuwa Benk hiyo …

SBL Yaidhamini Taifa Stars kwa bilioni 2.1

      *Ni mkatanba wa miaka mitatu mfululizo KAMPUNI ya Bia Serengeti (SBL) leo imeingia mkataba wa mitatu na Shirikisho la Mipira wa Miguu Tanzania (TFF)  wa thamani ya shilingi bilioni 2.1  ambao unaifanya kuwa mdhamini  mkuu wa timu ya taifa -Taifa Stars. Hii ni mara ya pili kwa SBL kuiunga mkono timu ya taifa baada ya kampuni hiyo kufanya hivyo kwa kipindi …

KAMPUNI YA TANCOAL YATEKELEZA AGIZO LA SERIKALI

  Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya kuzalisha makaa ya mawe nchini, Tancoal Energy Limited imetekeleza kwa zaidi ya asilimia 100 agizo la Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa ya kuongeza uzalishaji wa makaa ya mawe maradufu. Taarifa hiyo iliyotolewa jana na Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Bw. James Shedd wakati alipokutana na Waandishi wa habari …

VIGEZO VINAVYOTUMIKA KUZIPA HADHI HOTELI

Na Jumia Travel Tanzania   HIVI ushawahi kujiuliza ni kwanini hoteli fulani inatajwa kuwa ni ya nyota tatu, nne au tano? Najua itakuwa ni vigumu kuelewa kama haupo katika tasnia ya masuala ya hoteli au utalii mpaka upatiwe ufafanuzi wa kutosha.   Hivi karibuni Serena Hotel ya jijini Dar es Salaam ilifanikiwa kupewa hadhi ya kuwa hoteli ya nyota tano katika hafla ambayo mgeni …