Naibu Katibu CCM Zanzibar Awataka Viongozi Kufanya Kazi za Kijamii

    Na Is-Haka Omar, Zanzibar WANANCHI visiwani vya Zanzibar wameshauriwa kuendeleza kwa vitendo Utamaduni wa uzalendo wa kusaidiana wakati wa maafa mbali mbali yanayotokea nchini bila kujadili tofauti za kisiasa na kidini. Wito huo umetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Saadala “Mabodi” mara baada ya ujenzi wa nyumba ya Balozi wa Nyumba kumi, Bi. …

MBUNGE LUSHOTO AKAGUA UHARIBIFU WA BARABARA YA MOMBO-SONI

Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akikagua athari za mafuriko kwenye barabara ya Soni hadi Mombo ambapo imefungwa kutokana na vifusi, mawe  kudondoka barabarani na hivyo kusababisha adha hiyo.   Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akiangalia athari za barabara ya Mombo hadi Soni ambayo imefungwa kutokana na kushuka kwa mawe makubwa na vifusi. Mbunge wa Jimbo …

KMTC YAJIPANGA KUJENGA JIKO LA KUYEYUSHIA CHUMA

  Na Benedict Liwenga-WHUSM, Moshi KIWANDA cha Utengenezaji Vipuri vya Mashine Kilimanjaro (KMTC) iko mbioni kujenga mtambo utakaotumika katika kuyeyusha chuma kwa ajili ya kuendeleza shughuli zake za utenegenezaji wa dhana mbalimbali za mashine ikiwemo kukarabati mifumo ya umeme ya kiwanda hicho ambaye ilikua haijatumika kwa muda mrefu. Kauli hiyo imetolewa jana na Meneja Mkuu wa Kiwanda hicho, Mhandisi Adriano …

Pale Mbunge wa CCM Anapo Bebwa Mgongoni na Akinamama

  MBUNGE wa Viti Maalum mkoa wa Shinyanga mheshimiwa Azza Hilal Hamad kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ametoa msaada wa vifaa tiba ikiwemo vitanda vya kisasa vya kujifungulia,vitanda vya wagonjwa na viti vya wagonjwa katika vituo vya afya na zahanati katika halmashauri ya Shinyanga vijijini na Kishapu vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 33. Mbunge huyo amekabidhi vifaa …