Siku ya kitaifa ya uelewa juu ya Albino kufanyika Dodoma Juni 13

Chama Cha Watu Wenye Ualbino Tanzania kwa kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu, taasisi za Watu Wenye Ulemavu, mashirika mengine yasiyo ya kiserikali na wadau mbalimbali mwaka huu watafanya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Uelewa Juu ya Ualbino mjini Dodoma ambayo kilele chake ni tarehe 13 Juni. Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri …

Rais Magufuli Aifuta Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma, CDA

        RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 15 Mei, 2017 ameivunja rasmi Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA) na ameagiza mali na shughuli zote zilizokuwa zikifanywa na CDA zihamishiwe Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma. Mhe. Rais Magufuli ameivunja CDA kwa kutia saini hati ya Amri ya Rais ya …

Kundi la WhatsApp Lasaidia Wagonjwa wa Saratani, KCMC

  Mabalozi wa Kundi la Mtandao wa Kijamii wa WhatsApp la Saratani Info wakiwa katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC tayari kutembelea kitengo cha Saratani katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC. Mkuu wa Kitengo cha Saratani katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Dk. Furaha Silventi akizungumza na mabalozi wa kundi la Saratani Info lilipotmbelea kitengo hicho. Mkuu wa Kitengo cha Saratani katika …

Majerui Ajali ya Wanafunzi Lucky Vincent Wapelekwa Marekani

  Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini,Lazaro Nyalandu akizungumza jambo na mmoja wa marubani wa shirika la Samaritan’s Purse kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro kabla ya wanafunzi watatu hawajaelekea Marekani kwa matibabu kufuatia ajali iliyotokea wilayani Karatu wiki iliyopita.   Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu akizungumza jambo kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro.   Mbunge wa jimbo la Singida …

NMB yawezesha kufanyika kwa mashindano ya michezo Zanzibar

        MAKAMU wa Rais wa Pili wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Idd, ameipongeza Benki ya NMB kwa kudhamimi Mashindano ya Michezo kwa Taasisi za Elimu na Vyuo Vikuu Zanzibar (ZAHILFE 2017), iliyozinduliwa juzi Jumapili, huku akiwataka washiriki kuitumia vema fursa hiyo. NMB imedhamini mashindano hayo kwa kiasi cha Sh. Mil. 20, ambako timu kutoka taasisi za elimu …

MWAKYEMBE AFAGILIA MASHINDANO YA DASANI MARATHON 2017

    Mkurugenzi wa Michezo Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,  Yusufu Singo (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa mashindano ya mbio ya Km 21 ya Dasani Marathon 2017  baada ya kuwakabidhi zawadi zao eneo la Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay Dar es Salaam leo. Mshindi wa kwanza, Augustine Sule (aliyesimama juu), Mshindi wa pili …