TGNP Yaichambua Bajeti ya Elimu, Yadai Haijatoa Kipaumbele kwa Mtoto wa Kike

 Wadau wakiwa kwenye mkutano huo.  Mkutano ukiendelea.  Uchambuzi wa bajeti hiyo ukiendelea.  Mzee Hamisi Katumwa akichangia jambo kwenye mkutano  huo.  Mdau Msafiri Mtakatifu akichangia jambo.  Mdau Wilfred akichangia jambo kuhusu bajeti hiyo.  Bi. Ester Tibaigana akichangia jambo.  Muonekano wa chumba cha mkutano huo wakati wa uchambuzi wa bajeti hiyo. Bi. Marytaus Mbawala akichangia mada.   Na Dotto Mwaibale   MTANDAO …

Trust Care Tanzania, TTCL Kuwajengea Uwezo Wanafunzi Vyuo Vikuu

    SHIRIKA la Trust Care Tanzania Foundation kwa kushirikiana na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wameandaa semina ya kuwajengea uwezo wa kifikra wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali vya jijini Dar es Salaam ikiwa na lengo la kuwabadili wanafunzi kwa ujumla kuwa na mawazo chanya yatakayowawezesha kutumia fursa anuai zinazowazunguka katika jamii mara baada ya masomo yao. Akizungumzia semina hiyo …

Tigo yazindua kampeni ya ‘Jaza Ujazwe’ kuwashukuru wateja

      Mtaalamu wa kubuni Ofa kutoka kampuni ya simu za mkononi ya TIGO Jacqueline Nnunduma  akijibu maswali kwa waandishi wakati wa uzinduzi wa kifurushi cha Jaza Ujazwe (katikati)  Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga  na mwishoni ni  Meneja Mawasiliano ya Umma wa Tigo Woinde Shisael.   KAMPUNI inayoongoza mfumo wa maisha ya kidijitali, Tigo Tanzania  imezindua kampeni nyingine mpya ya kuvutia …

WADAU WA ELIMU WAKUTANA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE

Picha ya pamoja ya wadau wa elimu Tanzania na baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Bunge, huduma na Maendeleo ya Jamii baada ya kikao cha kuwasilisha mapendekezo ya wadau wa elimu katika bajeti ya elimu ya mwaka wa fedha 2017/2018 uliofanyika katika ukumbi mdogo wa bunge mjini Dodoma. Baada ya Kikao hicho wanakamati ya bunge ya kudumu huduma na maendeleo ya …

MRADI WA MATREKTA YA URSUS MKOMBOZI KWA WAKULIMA

  Matrekta ya Kampuni ya Ursus SA ya nchini Poland yakiwa tayari yameunganishwa na Wataalam kutoka Poland na Tanzania katika eneo la Kiwanda TAMCO lililoko Kibaha Mkoani Pwani yakiwa tayari kuanza kufanya kazi.   Majembe yatayotumika na matrekta ya Kampuni ya Ursus SA ya nchini Poland yakiwa tayari yameunganishwa na Wataalam kutoka Poland na Tanzania katika eneo la Kiwanda TAMCO lililoko Kibaha Mkoani …