Mkurugenzi wa Halmshauri ya Wilaya ya Mbogwe, (kulia), Elias Kayandabila, akizungumza na waandishi wa habari, walioongozana na wataalamu wa kilimo kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech) pamoja na Jukwaa la Bioteknojia na Uhandisi Jeni (OFAB) waliopo mkoani Geita kwa ziara ya kutoa mafunzo ya kilimo chenye tija kwa maofisa ugani. Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe, Martha …
Manispaa ya Ilala Yatoa Cheti cha Shukrani kwa Mwananchi Kichangani
Na Leonce Zimbandu MKURUGENZI wa Manispaa ya Ilala, Msongela Palela ametoa cheti cha shukurani kwa Mkazi wa Mtaa wa Kichangani kata ya Majohe, Gabriel Macheho (pichani) baada ya kutambua mchango wake wakuhifadhi na kutunza rasilimali za umma. Moja ya rasilimali hizo ni pamoja na kusimamia eneo la umma lisichukuliwe na kumilikiwa na watubinafsi, likiwamo eneo la machimbo ya mchanga lililokuwa likimilikiwa na Mbezi …
Maadhimisho Siku ya Afrika Yaja na Bidhaa za Asili…!
MEI 25 kila mwaka Mataifa mbalimbali Barani Afrika huadhimisha Siku ya Afrika kama sehemu ya mataifa hayo kukumbuka ukombozi wake barani Afrika. Jijini Mwanza, watengenezaji na wauzaji wa vitu vya kitamaduni wamewataka watanzania kuongeza kasi ya matumizi ya vitu hivyo badala ya kutegemea vitu kutoka mataifa ya Maghabiri. Kulia ni Mzee Francis Gabriel pamoja na Bi. Salome Babae ambao ni watengenezaji na …
Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi Waelimsha Wadau
MFUKO wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), umeendesha semina ya siku moja kwa waajiri nchini katika mikoa minne, ili kutoa elimu juu ya shughuli za Mfuko na wajibu wa waajiri kwa wafanyakazi wao katika kujisajili na kuwalipa michango kwa niaba ya waajiriwa wao. Akizungumza katika semina hiyo mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko Dkt. Francis Michael …
SBL Yatoa Zawadi ya Gari ya Milioni 50 kwa Msambazaji Bora
Mkurugenzi wa Mauzo wa SBL, Alain Tayo Akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusu zawadi ya msambazaji bora ambapo MM Group kutoka Mpanda aliibuka mshindi ,kulia kwake ni Meneja Usambazaji wa SBL Malalia Mmasy na kushoto kwake ni Mwakilishi wa MM Group Joseph Chanika,mapema leo katika ofisi za SBL Temeke Jijini Dar es salaam. Waandishi wa habari …