WIZARA ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo ambayo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa na Utamaduni inawajulisha wadau wake kushiriki katika Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) linalotarajia kufanyika kuanzia tarehe 7 hadi 15 Septemba mwaka huu nchini Uganda. Tamasha hilo lenye kauli mbiu “TASNIA YA UBUNIFU NA UTAMADUNI NI INJINI YA KUJENGA UMOJA …
JKT Makao Makuu Mabingwa Kombe la Ngumi la Mstahiki Meya
NA CHRISTINA MWAGALA MASHINDANO ya ngumi ya Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita yamemalizika jana na Timu ya JKT Makao Makuu kuibuka mabingwa wa kombe hilo ikiwa ni kwa Mara ya nne mfululizo. Mashindano hayo ambayo yalikuwa na mvuto wa Pekee, yalifika tamati hiyo jana na kufungwa na Mbunge wa jimbo la Temeke Abdala Mtolea …
NMB yatoa elimu ya kifedha kwa wanafunzi Shule ya Msingi Wailes
BENKI ya NMB imetoa elimu ya masuala ya kibenki na umuhimu wa kujijengea utamaduni wa uwekaji akiba kwa wanafunzi na baadhi ya wazazi wa Shule ya Msingi Wailes iliyopo Temeke jijini Dar es Salaam. Akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi Wailes walioshiriki mafunzo hayo ya kifedha, Ofisa wa Benki ya NMB Tawi la Temeke, Latifa …
TCU Yataka Wanaokwenda Kusoma Vyuo vya Nje Kuzingatia Vigezo
TUME ya Vyuo Vikuu Nchini (TCU) imesema kuwa wanaokwenda kusoma vyuo vikuu vya nje wanatakiwa kuangaliwa vigezo ambavyo vinahitajika. Hayo yamesemwa na Afisa Udahili Mwandamizi wa Tume ya Vyuo Vikuu nchini, Dk. Fabian Mahundu wakati wa maonesho ya vyuo vikuu vya nchini India yaliyofanyika katika ubalozi wa nchi hiyo leo jijini Dar es Salaam. Dk. Mahundu amesema mwanafunzi anayekwenda …
DARAJA LA MAGARA KUANZA KUJENGWA MWEZI JULAI
SERIKALI imesema ipo katika hatua za mwisho za kumpata mkandarasi atakayejenga Daraja la Magara lenye urefu wa Mita 84 katika barabara ya Mbuyu wa Mjerumani-Mbulu km 21 lililopo mkoani Manyara ambapo mkataba huo unatarajiwa kusainiwa mwezi Juni mwaka huu. Akizungumza hayo jana kwa wananchi wa Kijiji cha Mayoka, wilaya ya Babati, mkoani humo, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi …