IGP Simon Sirro Aapiswa, Atuma Salaam kwa Majambazi…!
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Mei, 2017 amemuapisha Kamishna wa Polisi Simon Nyakoro Sirro kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP). Hafla ya kuapishwa kwa IGP Simon Nyakoro Sirro imehudhuriwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim …
UMISSETA MKOA WA DAR ES SALAAM YAPAMBA MOTO
Kaimu Katibu Tawala upande wa Uchumi na Uzalisha Mkoa wa Dar es salaam Ndg Edward Otieno akizungumza wakati wa ufunguzi wa UMISSETA Mkoa wa Dar es salaam Leo Mei 28, 2017 katika Uwanja wa Uhuru. Baadhi ya wanamichezo kutoka Manispaa za Mkoa wa Dar es salaam wakifatilia mchezo kati ya Ilala na Ubungo wakati wa ufunguzi wa UMISSETA Mkoa …
Mgogoro wa Vibanda Standi Ndogo Arusha Utapunguza Mapato-Mkurugenzi
Na Mwandishi Wetu, Arusha MKURUGENZI wa Jiji la Arusha Bw Athuman Kihamia amekataa kamati ya watu 4 mbele ya Baraza la madiwani wa Jiji la Arusha iliyokuwa imepangwa kwa ajili ya kuchunguza mgogoro wa maduka hayo 396 yalipo stand ndogo Jiji la Arusha kwa kile alichosema kuwa wananchi bado wanawatuhumu madiwani wengi kuwa chanza cha migogoro hiyo. Mkurugenzi huyo amesema kuwa binafsi haoni sababu …
UVCCM 681 Kutoka Vyuo Vikuu Watunukiwa Vyeti
“Ujana ni rika, ujana ni wakati na wakati haurudi nyuma” haya yalizungumzwa na mgeni rasmi Ndg. Rodrick Mpogoro Naibu katibu Mkuu CCM Bara kwenye mahafali ya Vijana Chama Cha mapinduzi kutoka Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika leo 28/05/2017 katika ukumbi wa King Solomoni Kinondoni. Ndg. Rodrick Mpogoro alisema, Siri pekee ya kufanikiwa kwa mtu yeyote inategemea namna anavyotazama na kutathmini …