RC Makonda Amkabidhi Ndikilo Mwenge

Na Mathias Canal, Dar es Salaam MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda amemkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo katika dhifa ya Makabidhiano iliyofanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu J.K Nyerere Terminal 1 tayari kwa kuelekea Mafia Mkoani Pwani. Mwenge wa Uhuru ni chombo kilichoasisiwa na baba …

Ndessamburo wa Chadema Afariki Dunia..!

  TANZIA:– Taarifa zilizotufikia ni kwamba, Mbunge Mstaafu wa Moshi Mjini na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kilimanjaro, Pilemon Kiwelu Ndessamburo amefariki Dunia mapema leo hii mjini Moshi. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa amethibitisha kutokea kwa kifo hicho cha Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Kilimanjaro, …

Watu 80 Yauwawa Kabul kwa Bomu la Kutegwa

WATU 80 wameuawa na wengine zaidi ya mia tatu kujeruhiwa, baada ya bomu lililotegwa kwenye gari kulipuka mjini Kabul. Maafisa nchini humo wanasema mlipuko mkubwa ambao umetokea katika eneo la makazi ya wanadiplomasia mapema asubuhi. Wingu la moshi mkubwa lilikuwa limetanda na kuonekana katika maeneo mengi ya mji wa Kabul. Aidha nyumba zilizokuwa jirani na bomu hilo lilipolipuka pia zilipatwa …

Marekani Yajaribu Mfumo Wake wa Utenguaji Makombora

  NCHI ya Marekani kwa mara ya kwanza imefanikiwa kufanya majaribio kwenye mfumo wake wa kudungua makombora ya masafa marefu ‘ICBM’ hii ikiwa ni kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa maofisa wake. Mfumo huo wa ardhini uliwekwa katika kambi moja ya kijeshi mjini California na kudungua kombora la masafa marefu kulingana na kitengo cha ulinzi wa makombora MDA. Taarifa zaidi …

Afrika Yatakiwa Kuwekeza Kwenye Kilimo Biashara

   Watoa mada wakijiandaa.     Mtafiti Mkuu wa Jukwaa la Bioteknolojia Tanzania (OFAB), Dk. Emmarold Mneney akitoa mada kwenye semina hiyo.  Usikivu katika semina hiyo.  Maswali yakiulizwa kwenye semina hiyo.  Wanahabari wakiwa kwenye semina hiyo.   Mratibu wa Jukwaa la Bioteknolojia Tanzania (OFAB), Filbert Nyinondi (kushoto), akiteta jambo na Meneja wa Jukwaa la Bioteknolojia Afrika (OFAB), Daniel Otunge wakati wa muda wa …

Naibu Waziri Ole Nasha Ahimiza Mbegu Bora kwa Wakulima

Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Ole Nasha (kushoto) akitambulishwa wafanyakazi wa kampuni ya Monsanto Tanzania baada ya ofisi yao kufunguliwa hapa nchini eneo la Njiro mkoani Arusha, kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Monsanto Afrika, Dk. Shukla Gyanendra.   Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Ole Nasha akizungumza jambo baada ya kukagua ghala la mbegu bora za kampuni ya Monsanto zenye …