Wapanda Mlima Kuchangia Wanaoishi na Virusi vya Ukimwi…!

  Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Tulia Ackson akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika lango la kupandia mlima Kilimanjaro, lango la Machame kwa ajili ya kutoa Baraka kwa washiriki wa changamoto ya kupanda mlima kwa lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi zoezi …

Wabunge 40 wa CUF ‘Wampa’ Ofisi Mpya Maalim Seif…!

Na Suleiman Msuya   IKIWA ni takribani miezi 10 sasa kwa Chama cha Wananchi (CUF), upande wa Katibu Mkuu, Maalim Seif Sharif Hamad kuvamiwa katika Ofisi Kuu za Bugurunina kundi la Profesa Ibrahim Lipumba chama hicho kimezindua ofisi mpya za chama hicho katika eneo la Mtaa wa Idrisa, Kata ya Mzimuni, wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Aidha, Seif amesisitiza kuwa hatarajii kukutana na …

Kampuni ya Bima ya Britam Yazinduwa Bima ya Afya kwa Makampuni

  Na Dotto Mwaibale KAMPUNI ya Bima ya Britam-Tanzania imezindua bima ya afya inayolenga kuhudumia makampuni makubwa, biashara ndogo na za kati (SMEs). Bima hii inajumuisha gharama za matibabu ya wagonjwa waliolazwa, vipimo vya magonjwa mbalimbali pamoja na majeraha yaliyotokana na ajali kwa waajiriwa wasiopungua 10. Bima hii itagharimu kati ya shilingi milioni 5 mpaka milioni 200. Akiongea katika uzinduzi …

Wampongeza Rais Magufuli kwa Ulinzi wa Raslimali

Na Jonas Kamaleki- MAELEZO VIJANA Wazalendo wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kwa hatua alizozichukua kuwapinga wanyonyaji wa uchumi na raslimali za nchi kupitia seta ya Nishati na Madini. Pongezi hizo zimetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wazalendo Tanzania, Bwana Mwita Nyarukururu alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari. Bwana …

Kituo cha Afya cha Ndago Chapatiwa GaIi la Wagonjwa

  Na Nathaniel Limu- Singida SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa gari la kubebeba wagonjwa kwa kituo cha afya cha Ndago kilichopo Wilayani Iramba mkoani Singida. Akikabidhi gari hilo, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Mwigulu Nchemba amesema Gari hilo litakuwa ni msaada mkubwa kwa wakazi wa eneo hilo kutokana na …

Moovn Driver Kuwasaidia Madereva wa Taksi, Pikipiki na Bajaji Dar

    TANZANIA inatarajia kunufaika na teknolojia ya kisasa ya usafirishaji ya Moovn Driver, kwa watu wanaohitaji kupiga simu ya mkononi kuhitaji usafiri. Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo, Godwin Ndugulile amesema huduma hiyo itawasaidia madereva wa taksi, pikipiki na bajaji nchi kufanya biashara kwa wakati na kukuza kipato chao na nchi …