Wizara ya Nishati Waanzisha Mfumo Rahisishi wa Taarifa

Na Mathias Canal, Lindi WIZARA ya Nishati na Madini imetambua kadhia iliyokuwa inawakumba wananchi kupata taarifa sahihi na za uhakika kuhusu masuala ya nishati jadidifu hapa nchini na hatimaye kuanzisha mfumo rahisishi wa taarifa unaojulikana kama Tanzania Renewable Energy Information Management System (TREIMS). Mfumno huu utasaidia kuhakikisha kwamba taarifa sahihi za masuala ya nishati jadidifu zinapatikana ambapo pindi taarifa zinapopatikana …

MHANDISI LWENGE AIPONGEZA WIZARA YA KILIMO KWA ELIMU

  Mgeni rasmi Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Greyson Lwenge Akisisitiza jambo mara baada ya kutembelea Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi wakati wa Maonesho ya wakulima (Nanenane) ambayo kitaifa yanafanyika katika Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi. Mgeni rasmi Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Greyson Lwenge akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea Maonesho ya wakulima (Nanenane) ambayo kitaifa yanafanyika …

NEWALA YAKABILIWA NA UHABA WA MAOFISA UGANI NA MIFUGO

Mwezeshaji kutoka Jukwaa la Bioteknolojia Tanzania (OFAB), Dk. Emmarold Mneney (kulia), akitoa mafunzo ya siku moja ya kilimo chenye tija  kwa wakulima wa Mkoa wa Mtwara  kwenye Maonyesho ya Kitaifa ya Nanenane yanayoendelea kwenye viwanja vya Ngongo mkoani Lindi jana. Wakulima wakiwa kwenye mafunzo hayo. Mafunzo yakiendelea. Mkulima Mohamed Ismail kutoka Kijiji cha Mnyambe wilayani Newala akizungumza kwenye mafunzo hayo. …

Rais Magufuli Awapatanisha RC Makonda na Ruge Mutahaba

 Wasanii nyota wa filamu wa Bongo Movie wakiwa  kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa bomba la mafuta ghafi toka Hoima nchini Uganda hadi bandari ya Tanga katika sherehe zilizofanyika kijiji cha Chongolieni kilicho nje kidogo mwa jiji la Tanga siku ya Jumamosi Agosti 5, 2016. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe …

Benki zashauriwa kubuni bidhaa zitakazo wavuta masikini

    MKUU wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Miraji Mtaturu ameyashauri mabenki ikiwemo NMB kubuni bidhaa zitakazowanufaisha Watanzania maskini ili kuondoa dhana inayowabaguzi ya kuwa “‘maskini sio rafiki wa taasisi za kifedha”. Mtaturu ametoa wito huo juzi wakati akifungua rasmi Tawi la Benki ya NMB Ikungi. Alisema kuendelea kuamini kwamba maskini sio rafiki wa mabenki, kundi hilo la Watanzania …