Mazishi ya Marehemu Balozi Cisco Mtiro Kufanyika Jumatano

MKUU wa Itifaki mstaafu Balozi Cisco Mtiro (pichani) ambaye amefariki dunia leo asubuhi  katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam alikokuwa amelazwa kwa matibabu, anatarajiwa kuzikwa siku ya JUMATANO, kwa mujibu wa msemaji wa familia, Bw. Shaaban Kessy Mtambo Jioni hii Bw. Mtambo ameiambia Globu ya Jamii kwamba mazishi ya mwanadiplomasia huyo yamepangwa kufanyika siku ya JUMATANO saa …

UHURU WA VYOMBO VYA HABARI HAUTAFIKIWA BILA USAWA WA KIJINSIA

  Na Mwandishi Wetu KILA ifikapo Mei 3, wanahabari na wadau mbalimbali wa vyombo vya habari duniani huungana kwa pamoja kuadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani. Wakati tukiadhimisha siku hii muhimu ya wanahabari kuna mambo kadhaa ya kuangalia. Mfano kwa muda mrefu sasa baadhi ya wadau mbalimbali na mashirika anuai wamekuwa wakivitumia vyombo vya habari kama chombo …

Waziri Mbarawa Apokea Kivuko cha Mv. Kazi

  Na Eliphace Marwa, Maelezo WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amepokea Kivuko cha MV Kazi kutoka kwa Kampuni ya kizalendo ya M/S Songoro Marine Transport Boatyard ya Mwanza iliyokuwa inafanya kazi ya ujenzi wa Kivuko hicho mara baada ya ujenzi wake kukamilika. Akizungumza na wananchi, Prof Mbarawa alisema lengo la Serikali kuongeza Kivuko hicho ni kuboresha …

DC Mjema Afanya Ziara Chuo cha St. Mark Kilichopo Buguruni Malapa

  Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mh. Sophia Mjema akizungumza na wanajumuiya ya Chuo cha St. Mark kilichopo Buguruni Malapa alipofanya ziara ya kikazi chuoni hapo. Kulia kwake ni Makamu Mkuu wa Chuo Dr. Peter Kopweh na kushoto ni Mshauri wa majeshi ya akiba Chripin Makota. Wanajumuiya ya Chuo cha St. Mark kilichopo Buguruni Malapa wakimsikilia Mh.Sophia Mjema alipofanya ziara ya kikazi chuoni …

WANAHISA WA NMB WAPITISHA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 52

        BENKI ya NMB (National Microfinance Bank Plc) imetangaza gawio la shilingi 104 kwa kila hisa. Wanahisa wa NMB walipitisha kiasi kilichokuwa kimependekezwa katika mkutano mkuu wa Mwaka uliofanyika jana jijini Dar es Salaam. Jumla ya gawio lote litakalolipwa kwa wana hisa ni shilingi Bilioni 52 kiwango ambacho kinaendana na sera ya benki ya kutoa moja ya …