Tanzia; Cisco Mtiro, Umelala Brother Tangulia

Na Benny Kisaka ABDULKARIM Omary Mtiro, almaarufu Cisco Mtiro, umelala Brother tangulia. Umelala usingizi. Usingizi ambao hautaamka wakati huu. Hautaamka brother kwa kuwa wanaolala usingizi huu wanamngoja aliyewaumba awaamshe. Kwa neema yake kuu iko siku utaamka Brother. Mara hii ukiamka hutalala tena.   Naam, hutalala. Maana utakuwa umevuka ng’ambo ya pili ya mto. Huko hakuna uchungu na maumivu makali kama uliyoyapitia nyakati …

BULEMBO AFUNGA KAZI WILAYA YA MISENYI NA BUKOBA MJINI MKOANI KAGERA

   Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwaili ukumbini.    Wajumbe wakiwa ukumbini tayari kumsikiliza Alhaj Bulembo.  Katibu wa Jumuia ya Wazazi Tanzana, Wilaya ya Misenyi Rehema Mtawala akimkabidhi zawadi maalum Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo kabla ya kikao kuanza.    Mjumbe …

INTANETI INAVYOCHOCHEA UKUAJI WA UTALII BARANI AFRIKA

Na Jumia Travel Tanzania   AFRIKA ni bara la pili kwa kuwa na idadi kubwa ya watu ambapo inafikia takribani bilioni 1.2 (wengi wao wakiishi mijini) na inatarajiwa kongezeka mpaka bilioni 2.5 kufikia mwaka 2050 (25% ya watu wote duniani). Kwa mujibu wa ripoti ya utalii kwa Afrika mwaka 2017 iliyofanywa na Jumia Travel imebainisha kwamba mtu mmoja kati ya watatu …

Tangazo la nafasi ya kazi: Marketing Assistant

Marketing Assistant Description: Muze Marketing, one of the fastest growing companies in Tanzania seeks a Marketing Assistant. The person we are looking for must possess good organizational skills, must be detail oriented and technology savvy. This person must also be outgoing and communicative, as well as polished and professional. If you enjoy people and want to participate on a whole …

TGNP Wazijengea Uwezo Asasi za Kijamii Kuchambua Bajeti Kijinsia

  MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) umekutanisha wawakilishi toka asasi mbalimbali za kiraia nchini kwa lengo la kuchambua bajeti kwa jicho la kijinsia. Akizungumza akifungua warsha hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi alisema washiriki hao kwa pamoja washiriki hao wataangalia kila asasi inafanya nini katika kuichambua bajeti kwa mlengo wa kijinsia. “Tutajadilia na kuangalia kila asasi inafanya nini katika …

Kampuni ya Halotel Yajivunia Mfumo wa Ulipaji Kodi Kielectroniki

  KAMPUNI ya mawasiliano ya simu ya Halotel, imeipongeza serikali kwa kuweka mfumo wa kukusanya kodi kwa njia rahisi na yenye uwazi na kufafanua kuwa wao wamekuwa kampuni ya kwanza kujiunga na kufurahia utaratibu huo kama ilivyobainishwa na kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere, kwani unawezesha kampuni kuwa wazi katika malipo yote ya kodi na tozo …