Mwenyekiti wa Bodaboda Shinyanga Ajinyonga Hadi Kufa

  Askari polisi wakiweka kwenye gari la polisi mwili wa Mwenyekiti wa chama cha waendesha pikipiki manispaa ya Shinyanga Jacob Paul aliyejiua leo Juni 10,2017 kwa kujinyonga nyumbani kwake huku chanzo kikihusishwa na mgogoro wa waendesha bodaboda na jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga. Jacob Paul enzi za uhai wake Wananchi wakiwa nyumbani kwa marehemu Jacob Paul. MAMIA ya wakazi wa …

TPA WASAINI MKATABA UPANUZI BANDARI YA DAR ES SALAAM

Benjamin Sawe, Maelezo MAMLAKA ya Bandari nchini (TPA), imesaini mkataba wa upanuzi na uongezaji wa kina cha bandari utakaowezesha bandari ya Dar es Salaam kupokea meli kubwa za mizigo na kushindana na bandari nyingine katika pwani ya bahari ya hindi. Upanuzi huo utakaofanywa na kampuni ya China Harbor Construction ya China utagharimu kiasi cha shilingi bilioni 336 na utadumu kwa …

MPANGO WA MAENDELEO WA MWAKA 2017/18 TANZANIA

MPANGO WA MAENDELEO WA MWAKA 2017/18 TANZANIA Mazingira Yanayoongoza Mpango MHESHIMIWA Spika, Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2017/18 ni wa pili katika utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano (2016/17 – 2020/21). Msukumo wake ni kufanikisha utekelezaji wa malengo ya Mpango wa Miaka mitano hasa kwa miradi ambayo utekelezaji wake unaendelea tokea 2016/17. Mheshimiwa Spika, utayarishaji wa Mpango …

WAKINA BABA WATAKIWA KUTOA ELIMU YA AFYA YA UZAZI KWA WATOTO

 Mwanafunzi Leila Kisinga kutoka Sekondari ya Mabibo akitoa mada kuhusu via vya uzazi vya mwanamke vinavyofanya kazi.  Kongamano likiendelea.  Mshiriki Idd Hamisi akichangia jambo katika kongamano hilo.  Usikivu katika kongamano hilo.  Aisha Kijavara akichangia.  Wakina mama wakiwa katika kongamano hilo. Wakina mama hao walitoa uzoefu wao kuhusu afya ya uzazi kwa watoto.  Mdau Selemani Bishagazi akichangia kuhusu wanaume kuwasaidia watoto …