Wafanyakazi Hospitali ya Sanitas Wajitolea Damu

    KUELEKEA siku ya kuchangia damu duniani, Hospitali ya Sanitas iliyopo Mikocheni imeandaa kambi ya kuchangia damu ambayo ilifanyika siku ya jumanne, Juni 13 2017. Katika kambi hiyo jumla ya chupa za damu 50 zilikusanywa ambapo wachangiaji walikuwa ni wafanyakazi wa hospitali hiyo na baadhi ya watu kutoka nje ambao walijumuika na wafanyakazi hao hao kwa ajili a uchangia damu kwa …

Wanaharakati 42 Wafanikiwa Kufika Kileleni, Mlima Kilimanjaro

Timu ya Wanaharakati 86 kutoka taasisi na kampuni mbalimbali walioshiriki changamoto ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa ajili ya kuchangisha fedha za kusaidia mapambano dhidi ya Ukimwi wakishuka kutoka katika kilele cha Uhuru. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mngwira akijiandaa Timu ya  Wanaharakati wakati wakishuka kutoka kilele cha Uhuru, Mlima Kilimanjaro. Mkurugenzi wa Kampuni ya Utalii ya Zara ,Zainabu Ansel (katikati) …

Samatta Apongeza SBL kwa Udhamini wa Taifa Stars

     Waandishi wa habari wakichukua matukio katika mkutano huo uliofanyika mapema mwishoni mwa wiki iliyopita. Na Mwandishi Wetu     MCHEZAJI soka wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Sammata ameihakikishia kampuni ya Bia ya Serengeti  ambayo ni wadhamini wa timu ya taifa Taifa Stars kwamba wachezaji wa timu hiyo watajituma  ili kuhakikisha kuwa wanashinda mechi zote  walizopangiwa kwenye ratiba.     Samatta ambaye ni nahodha …