Niger haiwezi ‘kumzuia’ Gaddafi kuingia katika nchi hiyo

WAZIRI wa Mambo ya Nje wa nchi ya Niger amesema nchi yake haiwezi kufunga mipaka yake kutokea Libya ili kumzuia kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi kukimbilia katika nchi hiyo. Waziri huyo wa Mambo ya Nje, Mohamed Bazoum ameiambia BBC kuwa Gaddafi hakuvuka mpaka wala kuombwa kuvuka mpaka huo. Alisema hata hivyo msafara wa wanaomtii Gaddafi waliwasili kwenye Mji Mkuu wa …

Njaa yawatisha Wanakijiji Matembo, Iringa

HALI ya chakula si nzuri katika Kijiji cha Matembo Jimbo la Ismani mkoani Iringa. Wanakijiji wa eneo hilo wanahitaji msaada wa chakula kutokana na hali mbaya ya upatikanaji wa chakula. Taarifa ambazo mtandao huu umezipata kaya nyingi zinakabiliwa na njaa, hali ambayo inatashia maisha ya wanakijiji hicho na baadhi ya maeneo mengine.

Dk. Slaa, Mbowe kuanza mapambano leo Igunga

Na Mwandishi Wetu, Igunga CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo kinatarajia kuzindua rasmi kampeni zake za kumnadi mgombea wa chama hicho katika uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Igunga. Dk. Willibroad Slaa, ndiye atakaye ongoza zoezi zima la uzidunzi wa kampeni hizo. CHADEMA katika uchaguzi huo Joseph Kashindye. CHADEMA imepanga kuzindua kampeni zake katika viwanja vya Sokoine, huku hafla …