Jaji Chande atailetea heshima Tanzania- JK

TANZANIA itapata heshima kubwa iwapo Jaji Mkuu Mheshimiwa Mohammed Chande Othman atachaguliwa kuwa muongoza Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai, maarufu kama International Criminal Court (ICC), yenye makao yake makuu mjini Haque, Nertherlands baada ya kumalizika kwa muda wa Jaji Jose Luis Moreno Ocampo anayemaliza muda wake. Jina la Jaji Othman ni moja kati ya majina …

Kikwete atuma rambirambi ajali ya basi lililoteketea moto Pwani

Na Mwandishi Wetu RAIS Jakaya Kikwete amemtumia Mkuu wa Mkoa wa Pwani salamu za rambirambi na masikitiko makubwa kufuatia ajali ya basi la abiria lijulikanalo kama Delux Coach iliyotokea Oktoba 25, 2011. “Hii ni ajali mbaya sana, ni ajali ya kusikitisha na kuhuzunisha kwa wananchi wote na hasa mimi,” Rais amesema na kusisitiza kuwa ajali kama hizi zinazidi kutoa changamoto …

Mpigie Geofrey Mwakibete kura ya ‘Mpiga Picha Bora wa Mitindo’

MPENZI mdau na msomaji wa mtandao huu, napenda kukufahamisha kuwa Geofrey Mwakibete wa MO BLOG amebahatika kuchaguliwa kuwa miongoni mwa washiriki wa shindano la SWAHILI FASHION WEEK AWARDS katika kundi la Wapiga picha bora wa Mitindo. Bila wewe asingefanikiwa kupata nafasi hii hivyo tunaomba tuendelee kumpa sapoti na hamasa kwa kumpigia kura GEOFREY MWAKIBETE kupitia mtandao huu;- http://www.swahilifashionweekawards.blogspot.com Asanteni kwa …

Dk. Nchimbi apokea msaada wa mipira 300 toka Serikali ya China

Benjamin Sawe, Maelezo- Dar es Salaam SERIKALI ya China imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya michezo kiwemo mipira 300 kwa Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo ikiwa ni sehemu ya kuboresha uhusiano kati ya Serikali ya Tanzania na nchi ya China. Akizungumza wakati wa makabidhiano ya vifaa hivyo Balozi wa China nchini, Liu Kinsheng amesema licha ya kutoa mipira …

Mafunzo ya Kilimo Biashara kuongeza tija kwa Wajasiriamali Tanga

Na Ngusekela David MRADI wa Muungano wa Wajasiriamali Vijijini (MUVI) unaendesha mafunzo ya kilimo kama biashara wilayani Muheza yanayotolewa na wakufunzi ambao ni maofisa ugani wa kata na vijiji katika Wilaya za Muheza, Korogwe na Handeni. Mafunzo hayo yanaratibiwa na mradi wa MUVI na yanahusisha kilimo cha alizeti na machungwa kwa Wilaya zote ambazo mradi wa MUVI unafanya kazi. Lengo …