Tigo announces a final Power Tiller winner

TIGO Telecommunication Company held a final draw for a Power Tiller winner as per company’s interest to join hands with the government in developing Kilimo Kwanza Policy. Tigo and Noble Motors partnered to help farmers by launching this promotion which lasted for two months, from 16th August 2011 to 16th October 2011 where Subscribers stood a chance to win a …

Matukio katika Banda la Benki ya Posta

BENKI ya Posta Tanzania (TPB) inashiriki katika Maonesho ya Wizara ya Fedha kuadhimisha miaka 5o ya Uhuru yanayofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Yafuatayo ni matukio katika picha mbalimbali ndani ya Banda la TPB.

Marekani kuishambulia kivita Somalia

MAREKANI imeanza kufanyia majaribio ndege zake za kivita zisizo na rubani nchini Ethiopia katika maandalizi ya kuanza mashambulio dhidi ya ngome za wapiganaji wa Al Shabaab katika nchi jirani ya Somalia. Ndege hizo ambazo zinaweza kubeba makombora na mabomu yanayoelekezwa kwa kutumia mtambo wa satelite zitaruka kutoka Kituo cha Jeshi la Marekani katika Mji wa Kusini mwa Ethiopia wa Arba …

Matokeo ya Uchaguzi Tunisia yazusha rabsha

MATOKEO ya uchaguzi wa Jumapili yamezua rabsha Makabiliano makali yamezuka kati ya Polisi na waandamanaji nchini Tunisia katika mji wa kati ya nchi wa Sidi Bouzid ambao ni chimbuko la mapinduzi ya raia yaliyomng’oa mamlakani aliyekuwa rais Zine el-Abidine Ben Ali mwezi Januari. Polisi wamelazimika kutumia vitoa machozi kuwatawanya mamia ya watu waliokuwa wakilalamikia uamuzi wa tume ya uchaguzi kufuta …

Kenya ‘yashambuliwa’ tena, wanne wauwawa

WATU wenye silaha nchini Kenya wameshambulia lori la mizigo karibu na mpaka na Somalia, na kuua watu wasiopungua wanne. Taarifa zinasema gari hilo lilikuwa limebeba makaratasi ya mitihani ya shule, wakati liliposhambuliwa katika wilaya ya Mandera. Taarifa zinasema Kenya imekuwa ikilishutumu kundi la wanamgambo la Al-Shabaab kwa mfululizo wa utekaji nyara katika ardhi yake. Hata hivyo, Al-Shabaab inakanusha tuhuma hizo …