Waumini KKKT Kulasi Wilayani Korogwe Wajenga Kanisa Jipya

    Muonekano wa Jengo la Kanisa lililokuwa likitumiwa na Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe. Muonekano wa Jengo jipya la Kanisa linalotumiwa na Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe. Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini …

Mkuu wa Wilaya Tunduru Awatia Mbaroni Viongozi wa Vijiji kwa Ubadhirifu

Mkuu wa Idara ya Ardhi na Maliasili Ndugu Japhet Muogopeni Mnyagala akizungumza mbele ya Wananchi. Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mhe. Juma Zuberi Homera akizungumza na Wananchi wa Vitongoji vya Frank Weston na Umoja vilivyokumbwa na mgogoro wa ardhi.   Mkuu wa Wilaya Tunduru Mhe. Juma Zuberi Homera akimuagiza Mkuu wa Idara ya Ardhi na Maliasili Ndugu Japhet Muogopeni Mnyagala …

TANAPA Wakabidhi Bwalo la Chakula kwa Sekondari ya Mwika

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck Sadiq pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi wakitia saini hati ya makabidhiano ya jengo la Bwalo la chakula katika shule ya sekondari ya Mwika jana wilayani Moshi, Jengo hilo limejengwa kwa ufadhili wa Tanapa kwa kushirkiana na Halmashauri ya wilaya ya Moshi pamoja na nguvu za wananchi ambapo jumla ya kiasi …

Mwanahabari Joseph Senga Azikwa Kijiji cha Shushi, Kwimba

  Mwili ukiwasili katika Kijiji cha Shushi Wilaya ya Kwimba Mwanza kwa ajili ya taratibu za maziko.  Mama wa marehemu akilia kwa uchungu huku akifarijiwa na ndugu.   Mama wa marehemu akisaidiwa kugusa mwili wa mwanae kwa mara ya mwisho kabla ya maziko. Waandishi wa habari wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu Joseph Senga. Mke wa marehemu Winfrida Senga …

Ali Kiba Kupamba Shamrashamra za Tamasha Startimes Kiswahili

Mkurugenzi Msaidizi wa Masoko na Maudhui wa StarTimes Tanzania, Bw. Damien Li (wa pili kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa tamasha la kusherehekea miaka miwili ya chaneli ya Kiswahili ya StarTimes litakalofanyika siku ya Jumamosi Agosti 13, 2016 kwenye viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es Salaam. Kushoto ni msanii Ali Kiba ambaye atakuwepo …