BENKI ya NMB imezindua mpango mkakati wenye thamani ya mabilioni kwa ajili ya kuboresha huduma zake za fedha kwa miaka mitano. Mpango mkakati huu hususan unahusu kupanua huduma za fedha kwenye mazao zaidi ya kilimo – kutoka matano mpaka zaidi ya 12. Mpango huu utatoa fursa ya huduma za fedha sio tu kwa wakulima …
Maalim Seif Azungumza na Wazanzibari Waishio Boston
Na Mwandishi Wetu Boston MAKAMU wa Kwanza mstaafu wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amemaliza awamu ya pili ya ziara zake za Kimataafa hapa nchini Marekani iliyoanza wiki mbili zilizopita. Maalim Seif, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) alikamilisha ziara yake hiyo tarehe 30 Julai kwa kuzungumza na Wazanzibari kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika jimbo …
Jokate Ajenga Uwanja wa Netiboli na Mpira wa Kikapu Sekondari ya Jangwani
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akifunga goli wakati wa uzinduzi wa uwanja wa Netiboli na Mpira wa Kikapu wa Shule ya Sekondari ya Jangwani uliojengwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kidoti, Jokate Mwegelo kupitia kampeni yake ya “Be Kidotified”. Mjema alizindua uwanja huo leo katika hafla fupi iliyofanyika katika shule hiy.Kushoto ni Jokate akishuhudia tukio hilo. PICHA NA MICHUZI JR. …
Viongozi Mbalimbali na Watendaji Wafundwa Mkoani Singida
Na Mathias Canal, Singida WAKUU wa Idara na vitengo, Maafisa Tarafa, Watendaji wa Kata, Watendaji wa vijiji na wenyeviti wa vijiji 101 vilivyopo Wilayani Ikungi Mkoani Singida wamepatiwa mafunzo ya kutambua mipaka ya majukumu yao kiutendaji katika kikao cha kazi kilichofanyika katika ukumbi wa shule ya sekondari Ikungi. Mafunzo hayo yameandaliwa na uongozi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo …
TTCL Kuiunganisha TANROADS Nchi Nzima
WAKALA wa Barabara Tanzania (TANROADS) na Kampuni ya Simu Tanzania TTCL zimetiliana saini Mkataba wa huduma za Intaneti ambapo TTCL itaunganisha ofisi za Wakala hiyo nchi nzima kwa kutumia Mkongo wake wa Mawasiliano. Hafla ya kutiliana saini makubaliano hayo imefanyika leo katika ofisi za Makao Makuu ya Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) na kuhudhuriwa na Mtendaji Mkuu (TANROADS), …
NMB Yakabidhi Madawati 660 Shule Saba za Wilaya ya Kasulu
BENKI ya NMB imekabidhi madawati 660 kwa wilaya ya Kasulu kama mchango wake kwa serikali katika kukabiliana na uhaba wa madawati nchini. Madawati hayo yaliyogharimu kiasi cha shilingi Milioni 35 ni mahususi kwa shule za msingi tano na sekondari mbili za wilayani kasulu yenye nia ya kuwapunguzia uhaba wa madawati waliyonayo. Akizungumza kwenye hafla ya makabidhiano ya madawati …