Washiriki wakisikiliza kwa makini mada mbalimbali kwenye mkutano huo. Afisa Mtendaji Mkuu wa wa Shear Illusions na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Manjano Foundation Mama Shekha Nasser (kushoto) Akimsiliza Mmoja wa Wanawake aliyekuwa akieleza namna anavyopambana na Changamoto zinzowakabili Wanawake wengi kwenye Biashara zao. Kwa Upande Mwingine Mama Shekha Nasser Amawataka Wanawake waliohudhuria namna gani ya kuweza kutofautisha faida na …
Jeuri ya Fedha Yaanza Kutema cheche Msimbazi wavuta Mshambuliaji
SIKU chachea baada ya mfanyabiashara maarufu nchini na mwanachama wa Simba SC, Mohammed Dewji ‘Mo’ kuichangia klabu hiyo shilingi milioni 100 za usajili, hatimaye wamefanikiwa kumleta mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi, Laudit Mavugo. Mavugo ambaye ametokea nchini Ufaransa alikokwama kujiunga na klabu ya Tours ya Ligi Daraja la Pili, maarufu kama Ligue 2 ametua usiku wa Jumatano August 3 jijini …
Ahmed Musa wa Leicester City Apiga Mbili mwenyewe Mbele ya Barcelona
Mchezaji ghali zaidi kununuliwa na Leicester City Ahmed Musa, aliyenunuliwa pauni milioni 16 na kuvunja rekodi ya klabu hiyo, amewafungia mabao yote mawili katika mechi ambayo wamefungwa 4-2 na Barcelona katika michuano ya Kombe la Kimataifa la Klabu. Munir alifungua ukurasa wa mabao kupitia pasi iliyotoka kwa Lionel Messi kabla ya nyota huyo wa Argentina muda mfupi baadaye kumuandalia pasi …
Masaa Machache Yasalia Kabla Pazi la Olimpiki Kufunguka
Mashindano ya Olimpiki mjini Rio kufunguliwa rasmi kesho Ijumaa, lakini hali bado haijakaa vizuri katika mazingira ya michezo hiyo. Vilabu mbali mbali barani Ulaya vinajiweka tayari kwa msimu ujao yamebakia masaa tu hadi kuanza rasmi michezo ya 31 ya Olimpiki mjini Rio. Mahakama ya kimataifa ya michezo inachukua hatua za haraka kuamua rufaa zilizopelekwa katika mahakama hiyo na wanariadha wa …
Matnez Apewa Kazi ya Kumnoa Mshambuliaji Eden Hazard
Meneja wa zamani wa Everton, Wigan na Swansea Roberto Martinez ameteuliwa kuwa meneja mkuu wa timu ya taifa ya Ubelgiji. Martinez, 43, ambaye ni raia wa Uhispania, alifukuzwa Everton mwezi wa tano mwa huu baada ya kufanya kazi Goodison Park kwa miaka mitatu. Marc Wilmots alijiuzulu wadhifa wake kama meneja wa Ubelgiji mwezi uliopita, wiki mbili baada ya kushindwa na …
TV1 Tanzania Kurusha Live Ligi Kuu ya Uingereza, EPL
Mkuu wa TV 1, Joseph Sayi (katikati),akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu ,Kituo cha Televisheni cha TV1 Tanzania kuanza kurusha matangazo ya moja kwa moja ya mpira wa miguu ya ligi kuu soka ya Uingereza EPL matangazo ambayo yanatarajia kurushwa kuanzia Agosti 13 mwaka huu. Kulia ni Meneja Masoko wa TV 1, Gillian Rugumamu na Meneja …