5.50am:Na mwenge wa Olympic uliowasili katika uwanja wa Mariccana unapokezwa aliyekuwa mwanariadha wa mbio za Marathon nchini Brazil Vanderlei Cordeiro de Lima – Ambaye anauwasha mwanga katika uwanja huo ishara ya ufunguzi rasmi ya michezo hiyo 5.32am:Wimbo wa taifa la Brazil unaimbwa kwa sasa katika ukumbi wa ufunguzi wa michezo hiyo 5.20am:Uwanja wa Mariccana ulivyofurika maelefu ya mashabiki 5.15am:Bendera zote …
Mkuu wa Wilaya Ikungi Afungua Mafunzo ya Mgambo
Na Mathias Canal, Singida WIKI 16, Miezi minne itatosha kuwakutanisha pamoja vijana wa kata mbalimbali Wilayani Ikungi kwa pamoja wakipatiwa mafunzo ya Mgambo hususani kujifunza uzalendo, Mbinu za medani za kupambana na uhalifu, Kuimarisha nidhamu na kujituma. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Miraji Jumanne Mtaturu wakati …
Diwani Chadema Atupwa Lupango kwa Kukiuka Maadhimio
Na Mathias Canal, Singida JESHI la Polisi Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida limemtia nguvuni Diwani wa Kata ya Iseke kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Emmanuely Njingu kwa kosa la kukwamisha shughuli za serikali kwa kuzuia watendaji wa serikali kufanya kazi yao ikiwemo ukusanyaji wa mapato. Njingu ambaye alikuwa mjumbe wa kamati ya fedha awali kabla ya …
Waziri Mbarawa Aitaka TPA Kujenga Cherezo Dar
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameitaka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), kujenga chelezo (gereji ya kukarabati meli na vivuko), katika bandari ya Dar es Salaam ili kuokoa fedha nyingi zinazotumika kwa matengenezo nje ya nchi. Waziri Prof. Mbarawa amesema hayo wilayani Kyela, wakati alipokuwa akikagua maendeleo ya ujenzi wa meli mbili mpya …
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Atoa Onyo kwa Wanasiasa
Na Mathias Canal, Singida MKUU wa Wilaya ya Ikungi Miraji Jumanne Mtaturu amewaonya baadhi ya wanasiasa hususani madiwani katika Wilaya hiyo kupitia matamko yao ya kuzuia ukusanyaji wa ushuru au kupiga vita vizuizi vilivyowekwa katika kata zote. Madiwani hao wanatumia vibaya Uelewa mdogo wa wananchi kwa kuwazuia kuchangia shughuli za maendeleo na ulipaji kodi hivyo amewaagiza madiwani wote …
Mv Tanga na Magogoni Kuanza Kazi Mwezi Huu
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph Nyamhanga, amekagua na kuridhika na hatua ya ujenzi na ukarabati wa vivuko vitatu na tishari moja unaoendelea Jijini Dar es Salaam. Akizungumza mara baada ya kukagua ukarabati wa kivuko cha MV Magogoni, MV Tanga, New MV Magogoni na Tishari litakalotumiwa na Kivuko …