Barabara ya Mkiwa-Itigi Kujengwa kwa Kiwango cha Lami

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amekagua barabara ya Makongolosi-Rungwa-Itigi hadi Mkiwa yenye urefu wa jumla ya KM 412 na kuhaidi ujenzi wa kiwango cha lami sehemu ya barabara ya Itigi-Mkiwa yenye urefu wa Km 35. Akizungumza mara baada ya kukagua barabara hiyo Waziri Prof. Mbarawa amesema Serikali itaijenga barabara hiyo kwa kiwango cha lami ili kufungua …

Mataruma ya Kongolo Tazara-Mbeya Kujenga Reli ya Kisasa.

Serikali imesema itatumia kiwanda cha Kongolo cha Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) kilichopo Mbeya kuzalisha mataruma yatakayotumika kwenye ujenzi wa reli ya kisasa (Standard Gauge) inayotarajiwa kuanza kujengwa hivi karibuni ili kupunguza gharama. Hayo ameyasema Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa alipotembelea kiwanda hicho kuona utendaji kazi na uzalishaji unaopatikana na kuiagiza kamati maalumu …

Jafo: Watanzania Tunapaswa Kuthamini Bidhaa Zinazozalishwa Nchini

Na Mathias Canal, Dodoma Watanzania wametakiwa kuthamini na kununua bidhaa zinazozalishwa nchini Tanzania hususani katika sekta ya Kilimo, Ufugaji na uvuvi kwani hakuna sababu ya kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi ilihali bidhaa hizo wanazoagiza zinazalishwa na watanzania wenzao. Naibu waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI Jafo Suleiman Said ameyasema hayo mara baada ya …

Serengeti Boys Wakomaa Sauzi na Kutoa Sare

Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ‘Serengeti Boys’ imefanikiwa kupata sare ya goli 1-1 dhidi ya timu ya vijana ya Afrika Kusini katika mchezo wa kuwania kufuzu kucheza michuano ya Mataifa ya Afrika kwa vijana inayotarajia kufanyika Madagascar. Goli la Serengeti Boys limefungwa na Ali Mtengi dakika ya 70 ikiwa ni bao la kusawazisha baada …

Marekani Waanza Kubeba Medali za Olimpiki

Mmarekani Ginny Thrasher amekuwa mwanamichezo wa kwanza kushinda dhahabu katika Michezo ya Olimpiki Rio baada ya kutwaa ushindi katika shindano la kulenga shahaba kwa bunduki kutoka mita 10 upande wa wanawake. Huo ndio ushindi wa kwanza katika shindano kubwa la kimataifa kwa mwanamichezo huyo wa umri wa miaka 19. Thrasher alipata alama 208.0 huku bingwa wa dunia mwaka 2006, Mchina …

Azam Fc Wavuta Vifaa Vipya Kuimalisha Ulinzi

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, leo jioni imeingia mkataba na mabeki wawili, Mghana Daniel Amoah na Mzimbabwe, Bruce Kangwa, kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo msimu ujao. Wawili hao kila mmoja amesaini mkataba wa miaka mitatu, Amoah anayecheza beki ya kati ametokea Medeama ya Ghana, huku Kangwa aliyefuzu majaribio ya kujiunga na Azam FC akitokea kwa …