Na Dixon Busagaga WANANCHI zaidi ya 265 wa mtaa wa Upendo, Mbezi Salasala wilayani Kinondoni wamelishukuru Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es salaam (DAWASCO), kwa kuwafikishia huduma ya Majisafi waliyoipatia shida kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita. Akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja wa serikali za mitaa na DAWASCO, Mjumbe wa mtaa wa Upendo Bw. Robert Massawe amepongeza juhudi …
Simiyu: Wanufaika wa TASAF Watakaojihusisha na Ulevi Kuondolewa
Na Stella Kalinga Mkuu wa mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka amewataka viongozi wa kata na vijiji kuwabaini wanufaika wa Mpango wa kunusuru kaya masikini TASAF III (PSSN) wanaojihusisha na ulevi na kuwaondoa katika orodha ya wanufaika wa mpango huo. Mtaka ametoa agizo hilo wakati alipozungumza na wananchi wa kijiji cha Mwamgoba wilayani Busega katika zoezi la uhawilishaji fedha za TASAF …
Rais Magufuli Achangisha Fedha za Ujenzi wa Kanisa Mkoani Chato
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli jana tarehe 07 Agosti, 2016 ametembelea Msikiti na Makanisa yaliyopo Chato Mjini Mkoani Geita na kuendelea kuwasihi Watanzania kuombea amani na utulivu katika nchi bila kujali tofauti za dini, makabila na kanda wanazotoka. Rais Magufuli ametoa ujumbe huo mara baada ya kusali ibada ya Jumapili katika Kanisa Katoliki la …
Barcelona Wakiona Cha Moto Kwa Liverpool
Sadio Mane aliifungia Liverpool bao lake la kwanza walipowabana vigogo wa Uhispania Barcelona 4-0 katika mechi ya kirafiki huko Wembley. Mane hakuogopa kuwepo kwa wachezaji nyota wa Barcelona Luis Suarez na Lionel Messi katika mechi hiyo ya kuwania kombe la kimataifa la mabingwa yaani International Champions Cup iliyochezwa katika uwanja wa Wembley. Mane, aliyenunuliwa katika dirisha la uhamisho kwa kitita …
Manchester United Waanza Msimu kwa Kubebea Ndoo
Klabu ya Manchester United Wameanza vyema msimu wa ufunguzi wa Ligi baada ya Kuisambaratisha Leicester city kwenye Mchezo wa ngao ya Jamii Uwanja wa Wembley London bao 2-1 Zlatan Ibrahimovic alifunga bao la ushindi dakika ya 83 dhidi ya hao wa mabingwa wa England, Leicester Citya, baada ya Jesse Lingard kuanza kufunga dakika ya 32, kabla ya Jamie Vardy kuisawazishia …
Manchester United Wamalizana na Juve Juu ya Pogba
Klabu ya Juventus ya Italia imemruhusu mshambulizi wake Paul Pogba kufanyiwa vipimo vya afya Old Trafford katika moja ya ishara kuwa huenda Manchester United imeafikiana na wakala wake kumnunua mchezaji huyo. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa amekuwa likizoni Marekani baada ya kumalizika kwa michuano ya Euro 2016. Pogba, 23, amekuwa akihusishwa na kuhamia Old Trafford kwa bei ya kuvunja …