Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), linachukua nafasi hii kuipongeza Klabu ya Simba ya Dar es Salaam kwa kufikisha umri wa miaka 80 tangu kuanzishwa kwake kama ambavyo inaelezwa na viongozi wa sasa wa klabu hiyo. Uongozi wa Simba SC kwa takribani miaka saba sasa, wamekuwa wakiazimisha siku ya Agosti 8, kila mwaka wamekuwa na wiki maalumu ya kuweka …
Pogba Aingia Kwenye Orodha ya Wachezaji Ghali Duniani
Paul Pogba amesema huu “ndio wakati bora zaidi wa kurejea Old Trafford” baada yake kukamilisha kuhamia Manchester United kwa kununuliwa £89m kutoka Juventus, ambayo ni rekodi mpya ya dunia. Kiungo huyo wa kati mwenye umri wa miaka 23 amerejea miaka minne baada ya kuondoka United na kwenda Juventus kwa £1.5m mwaka 2012. Pogba, ambaye ametia saini mkataba wa miaka mitano, …
Asasi ya FEDHA Yazungumzia Changamoto za Vijana Tanzania
Muanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya FEDHA Jafari Selemani akizungumzia changamoto za vijana na watanzania kwaujumla juu ya kutokufikia Uhuru wa kifedha (financial freedom) ikiwemo ukosefu wa elimu ya usimamizi fedha binafsi ambapo inapelekea umasikini wa watanzania wengi, pia alitumia nafasi hiyo kuzindua progranu ya FEDHA KLABU ambayo itakayowapa fursa vijana kupata elimu ya udhibiti fedha binafsi buree kila Jumamosi chuoni hapo. Ni …
Mavunde Afunga Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kati Dodoma
Na Mathias Canal, Dodoma MAONESHO na Mashindano ya mifugo Kitaifa sanjari na Maonesho ya Kilimo yametoa changamoto ya kuleta mapinduzi katika Ufugaji, Uvuvi, na Kilimo na kutoa ajira hususani kwa vijana kuwaongezea zaidi kipato na kuondoa umasikini. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana na Ajira, Antony P. Mavunde wakati akifunga maonesho ya wakulima Nane nane Kanda …
Jeshi la Polisi Kuvifunga Vyuo vya Udereva Visivyo na Sifa
Na Dotto Mwaibale JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limesema litavifungia vyuo vyote vinavyotoa mafunzo ya udereva nchini bila ya kuwa na sifa. Kauli hiyo ameitoa Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Kamishina wa Polisi (DCP) Mohamed Mpinga wakati akifungua mkutano wa pili wa Chama cha Shule Binafsi za Udereva Tanzania (Chashubuta) uliofanyika Dar es Salaam leo. “Kuanzia …
Simba Sc Yaisambaratisha AFC Leopard Taifa
SIMBA SC imesherehekea vyema miaka 80 jioni ya leo baada ya kuifunga AFC Leopard ya Kenya mabao 4-0 katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mshambuliaji chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, Ibrahim Hajib Migomba ameendelea kumvutia kocha mpya, Mcameroon Joseph Marius Omog baada ya kufunga mabao mawili, huku wachezaji wapya, Mrundi Laudit Mavugo na Shizza Kichuya wakifunga …