Na Aron Msigwa – MAELEZO. MFUKO wa Hanns Seidel Foundation (HSF) unaojihusisha na uwezeshaji wa wanawake katika nyanja za uongozi, usawa kijinsia na masuala ya siasa katika nchi mbalimbali umeitaja Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zinazofanya vizuri katika uwezeshaji wa wanawake duniani. Mwenyekiti wa Mfuko huo ambao makao yake yako nchini Ujerumani Prof. Ursula Mannle ameyasema hayo jijini …
JamiiForums.com Wazinduwa Mradi wa Tushirikishane Bukoba
Timu ya Jamii Media ikitambulishwa mbele ya Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Bukoba. MTANDAO wa JamiiForums.com umezindua rasmi mradi wa unaowashirikisha viongozi wa kuchaguliwa(hususani wabunge na madiwani), Serikali(Halmashauri) na Wananchi katika kurahisisha upatikanaji wa maendeleo. Mradi huu unaotambulika kama “Tushirikishane” una malengo ya kuwawezesha wabunge wa kuchaguliwa kutekeleza ahadi walizotoa wakati wa uchaguzi kwa urahisi. Pia Tushirikishane inalenga kuzisaidia Halmashauri …
Wananchi Wafurahia Huduma za Mifuko ya Uwekezaji Nanenane Lindi.
UTT AMIS ni kampuni inayoendesha mifuko ya uwekezaji wa pamoja hapa nchini. Mpaka sasa inaendesha mifuko mitano ambayo ni Mfuko wa Umoja, Mfuko wa Wekeza Maisha, Mfuko wa Watoto, Mfuko wa Kujikimu na Mfuko wa Ukwasi yenye jumla ya thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 253. Mifuko ya uwekezaji wa pamoja ni fursa mbadala inayowezasha watu ,vikundi, taasisi na kampuni …
Mfumuko wa Bei kwa Mwezi Julai, 2016 Wapungua kwa Asilimia 5.1
Na Dotto Mwaibale MFUMUKO wa Bei wa Taifa kwa mwezi Julai, 2016 umepungua hadi asilimia 5.1 kutoka asilimia 5.5 ilivyokuwa mwezi Juni, 2016. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Ephraim Kwekisigabo wakati akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu mfumuko wa bei wa taifa …
Yanga Kutuma Utetezi Wao TFF Kuhusu Usajili
Dirisha la usajili kwa timu zinazoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Ligi Daraja la Kwanza la StarTimes na Ligi Daraja la Pili msimu wa 2016/2017 lilifungwa saa 6.00 usiku wa Jumamosi Agosti 6, 2016. Hadi dirisha linafungwa, timu kadhaa hazikuwasilisha kabisa usajili wake licha ya kukumbushwa kwa njia mbalimbali na uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). …