Kutokana na sababu mbalimbali, Bodi ya Ligi (TPLB) ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imelazimika kubadili Ratiba ya Ligi Kuu kwa michezo kadhaa ya mwanzo kama ifuatavyo. 1. Mchezo Na. 2 – Kagera Sugar vs Mbeya City (20.08.2016) Mchezo huo sasa utachezwa tarehe 21.08.2016 katika Uwanja wa CCM Kambarage Shinyanga. Sababu ni kuwa uwanja wa Kaitaba bado utakuwa …
Kama Vipi Tuachie Timu Yetu Mbona Itabeba Makombe
Meneja wa klabu ya Arsenal ya Uingereza, Arsene Wenger amesema kuwa hatma yake katika klabu hiyo ya Emirates inategemea jinsi matokeo ya klabu hiyo msimu huu yatakavyokuwa. Raia huyo wa Ufaransa 66, aliajiriwa mwezi Septemba 1996 kuiongoza klabu hiyo. Mkataba wake wa sasa utakamilika mwishoni mwa mwezi juni mwaka ujao. Arsenal haijashinda taji la ligi kuu ya Uingereza tangu mwaka …
Ikwiriri Mjini na Vitongoji vya Jirani Kufurahia Huduma za Tigo
WAKAZI wa Ikwiriri mjini na vitongoji vya jirani sasa wanaweza kufurahia zaidi huduma za Tigo, kutokana na uzinduzi wa duka jipya la huduma kwa wateja la Tigo lililofunguliwa leo katikati ya mji huo. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa duka hilo, Mkurugenzi wa Tigo wa kanda ya Pwani , Goodluck Charles alisema, ufunguzi wa duka unaenda sambamba na mkakati wa kampuni wa kupanua …
Vijana na Mdahalo Kujadili Changamoto Anuai Dhidi yao
Mwakilishi Mkazi msaidizi kutoka UNFPA Bi. Christine Mwanukuzi akifungua mdahalo huo, kuwashukuru vijana kwa kujumuika pamoja na kuwapongeza kwa kufanikisha mdahalo huo kuelekea katika siku ya vijana duniani siku ya tarehe 12.08.2016. Bw. Badru Juma Rajabu akielezea historia ya siku ya vijana ilipoanzia na kusisitiza kuwa vijana wanatakiwa kutambulika na wasisahau kuchukua fursa pale wanapowezeshwa. Oscar Kimario muwezeshaji …
CRDB Yawapeleka Waandishi wa Habari za Biashara Mafunzoni Kenya
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akifafanua jambo wakati wa hafla ya kukabidhi tiketi za ndege kwa waandishi wa habari wa watatu waliopata udhamini wa benki hiyo kwenda Nairobi Kenya kuhudhuria mafunzo ya biashara na masuala ya fedha. Waandishi waliopata ufadhili huo ni Finnigan Simbeye (The Guardian, Abduel Elinaza (Daily News) na Samuel Kamndaya (The Citizen). Hafla hiyo ilifanyika …